MAADHIMISHO YA WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA TEMEKE JIJI DAR ES SALAAM (ENDESHA SALAMA-OKOA MAISHA)
Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya kutoka bandarini kuelekea ubungo kupitia ama Barabara ya Kilwa ama ile ya Mandela kwa wakati wote, na kuweka msisitizo wa alama za mwendo kasi katika barabara hizo kwakuwa pia imekuwa ikichangia kukosa umadhubuti wa breki pindi tatizo la ghafla linapojitokeza, jana jiji Dar Salaam.
Sehemu ya wananchi wakimsikiliza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Aug
Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yafanyika Temeke Jiji Dar
Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya kutoka bandarini kuelekea ubungo kupitia ama Barabara ya Kilwa ama ile ya Mandela kwa wakati wote, na kuweka msisitizo wa alama za mwendo kasi katika barabara hizo kwakuwa pia imekuwa ikichangia kukosa umadhubuti wa breki pindi tatizo la ghafla linapojitokeza, jana jiji Dar Salaam.
*Kauli Mbiu ya mwaka huu ni “Endesha...
10 years ago
MichuziMAADHIMISHO WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE
10 years ago
Michuzi
MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE

10 years ago
VijimamboMSAADA ZAIDI WATOLEWA NA TBL MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO MJINI TANGA LEO
10 years ago
Michuzi
MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA JIJINI DAR YAZINDULIWA

11 years ago
Tanzania Daima30 Sep
TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...
10 years ago
Michuzi
JK aaga wananchi Tanga, afungua wiki ya nenda kwa usalama barabarani

.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia mamia ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza katika mkutano mkubwa wa hadhara ambapo aliwaaga rasmi na kumpa zawadi mbalimbali jana jioni

10 years ago
MichuziTBL YATOA SH. MIL 124 KUDHAMINI WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI