Elimu ya awali Tunduru na changamoto lukuki
WADAU wa elimu Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) itatolewa katika misingi inayostahiki, itakuwa ni njia mojawapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Oct
Elimu ya awali Tunduru na changamoto zake
![Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/Mwalimu-wa-darasa-la-awali-wa-Shule-ya-Msingi-Nakayaya-Teckla-Milanzi-kulia-akiwa-na-wanafunzi-wake-eneo-ambalo-hutumika-kama-darasa-la-wanafunzi-hao..jpg)
WADAU wa elimu nchini Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) nchini Tanzania itatolewa katika misingi inayostahiki itakuwa ni njia moja wapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo maana wanaendelea kupaza sauti wakiitaka serikali kupitia vyombo husika kuboresha kwanza elimu ya awali kabla...
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0094.jpg)
ELIMU YA AWALI YAENDESHWA BILA VITABU TUNDURU
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Shule ya Marasibora na changamoto lukuki
WAKATI Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ikionyesha juhudi za kutatua matatizo yanayoikabili sekta ya elimu nchini, Shule ya Msingi Marasibora iliyopo Kata ya Kisumwa, Tarafa ya Suba, Wilaya...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
SAWAKA yakabiliwa na changamoto lukuki
SHIRIKA la Saidia Wazee Karagwe (SAWAKA), Mkoa wa Kagera, linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa huduma za afya, ushirikina, ukosefu wa vipato na kukosekana kwa mfuko wa jamii ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
GEPF; Mfuko uliopitia changamoto lukuki
KUNA usemi usemao: “Ukimuona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi porini,” hivyo ndivyo ilivyo kwa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu(GEPF) ulioanzishwa mwaka 1942. Mfuko huo pamoja na kuwa kwanza kuanzishwa...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
MALARIA: Changamoto lukuki zaiweka Tanzania njiapanda
10 years ago
Vijimambo13 Mar
JANUARY MAKAMBA SIFA LUKUKI ALIZONAZO NA CHANGAMOTO ZA KUINGIA IKULU
![](http://api.ning.com/files/YIi6je0KpJOdD3LfO4aYXSjAo4B*73eWcUNVG7lYAfgvLNVNeqckE2FJ1q64khqcIjpvlM8CC0tQ6UfedhU8n4mtHZlk7W9I/januarymakamba.jpg?width=650)
MWAKA mmoja uliopita nilikutana na mwanasiasa kijana January Yusuf Makamba na kumuuliza kama ana wazo la kugombea urais; jibu lake lilikuwa ni: “Ni wazo sahihi.”
Sikumwelewa alimaanisha nini, lakini habari zilizopo mtaani hivi sasa kuwa anakusudia kuchukua fomu za kuomba uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hatimaye kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea urais nimeelewa kuwa jibu lake wakati ule lilimaanisha; NDIYO.
Ni wazi mtu kuamka na wazo la aina hii, kwamba na...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Ujenzi: Sekta muhimu katika kukuza uchumi, yenye changamoto lukuki
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Sauti za Busara 2014: Tamasha kubwa Afrika lenye changamoto lukuki