JANUARY MAKAMBA SIFA LUKUKI ALIZONAZO NA CHANGAMOTO ZA KUINGIA IKULU
January Makamba
MWAKA mmoja uliopita nilikutana na mwanasiasa kijana January Yusuf Makamba na kumuuliza kama ana wazo la kugombea urais; jibu lake lilikuwa ni: “Ni wazo sahihi.”
Sikumwelewa alimaanisha nini, lakini habari zilizopo mtaani hivi sasa kuwa anakusudia kuchukua fomu za kuomba uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hatimaye kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea urais nimeelewa kuwa jibu lake wakati ule lilimaanisha; NDIYO.
Ni wazi mtu kuamka na wazo la aina hii, kwamba na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJanuary makamba apata wadhamini lukuki Tabora na Tanga
10 years ago
Bongo510 Mar
Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba — Fid Q
10 years ago
Mwananchi12 Jul
January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro
9 years ago
VijimamboNay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii
Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia chama chake.Nay alimjibu January Makamba aliyepost ujumbe ukionyesha kushangaa tuhuma dhidi ya CCM kuwa imekuwa ikinunua wanasiasa,tafiti pamoja na wasanii kwa lengo la kuulaghai umma.
"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Shule ya Marasibora na changamoto lukuki
WAKATI Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ikionyesha juhudi za kutatua matatizo yanayoikabili sekta ya elimu nchini, Shule ya Msingi Marasibora iliyopo Kata ya Kisumwa, Tarafa ya Suba, Wilaya...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
SAWAKA yakabiliwa na changamoto lukuki
SHIRIKA la Saidia Wazee Karagwe (SAWAKA), Mkoa wa Kagera, linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa huduma za afya, ushirikina, ukosefu wa vipato na kukosekana kwa mfuko wa jamii ya...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Elimu ya awali Tunduru na changamoto lukuki
WADAU wa elimu Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) itatolewa katika misingi inayostahiki, itakuwa ni njia mojawapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
GEPF; Mfuko uliopitia changamoto lukuki
KUNA usemi usemao: “Ukimuona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi porini,” hivyo ndivyo ilivyo kwa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu(GEPF) ulioanzishwa mwaka 1942. Mfuko huo pamoja na kuwa kwanza kuanzishwa...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
MALARIA: Changamoto lukuki zaiweka Tanzania njiapanda