Nay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii
Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia chama chake.Nay alimjibu January Makamba aliyepost ujumbe ukionyesha kushangaa tuhuma dhidi ya CCM kuwa imekuwa ikinunua wanasiasa,tafiti pamoja na wasanii kwa lengo la kuulaghai umma.
"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba
WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...
10 years ago
Bongo510 Mar
Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba — Fid Q
10 years ago
Mwananchi12 Jul
January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro
10 years ago
Mwananchi18 Jul
January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao
10 years ago
TheCitizen20 Jan
A conversation with January Makamba
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
January Makamba aridhishwa na TTCL
NAIBU Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, January Makamba, ameridhishwa na shughuli zinazofanywa na kampuni ya simu Tanzania (TTCL), hasa kwa kuanzisha kituo cha mtandao kitakachotoa huduma kwa nchi...
10 years ago
AllAfrica.Com18 Feb
Can January Makamba Be the Next President of Tanzania?
Can January Makamba Be the Next President of Tanzania?
AllAfrica.com
The Economist doesn't often write about Tanzania. When it does, the country's political and business elites pay attention. So, a few weeks before the 2010 general election, when the Economist published a long piece on Tanzania, it was met with surprise.
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
UTEGA wamshitaki January Makamba
UMOJA wa Wakulima wa Chai (UTEGA) Halmashauri ya Bumbuli, wilayani Lushoto, Tanga unatarajia kumburuza mahakamani Mbunge wa Bumbuli, January Makamba. Uamuzi wa UTEGA ulitolewa hivi karibuni katika mkutano mkuu maalumu...
5 years ago
CCM BlogJANUARY MAKAMBA ATOA NENO
Hayo ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter, wakati akimjibu mwananchi aliyehoji kauli ya Waziri wa sasa Azzan Zungu, aliyedai kuwa suala la mifuko hiyo lilisimamiwa na viongozi wa juu bila kumtaja...