January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao
>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/wFUTQ7Cbxto/default.jpg)
WABUNGE WALIOMWITA LOWASSA FISADI SASA WAMKARIBISHA KWENYE CHAMA CHAO
By Florence Majani, Mwananchi
Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.
Wakati wabunge hao wakikubali kumpokea, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa amesema wananchi wasubiri mambo yatakapokuwa tayari badala ya kutegemea mitandao ya kijamii.
“Nitazungumza pale mambo yatakapokuwa sawa, siwezi kuzungumza sasa, subirini… sasa hivi...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Kingunge ajiondoa CCM, asema chama kimekiuka katiba
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo
Kwa maelezo zaidi Bonyeza vidio
The post Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-4_PnGb88fgQ/VgbASRizfLI/AAAAAAAA1zI/5TLw9UWZiD8/s72-c/nat%2Bwa.jpg)
Nay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii
![](http://2.bp.blogspot.com/-4_PnGb88fgQ/VgbASRizfLI/AAAAAAAA1zI/5TLw9UWZiD8/s640/nat%2Bwa.jpg)
Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia chama chake.Nay alimjibu January Makamba aliyepost ujumbe ukionyesha kushangaa tuhuma dhidi ya CCM kuwa imekuwa ikinunua wanasiasa,tafiti pamoja na wasanii kwa lengo la kuulaghai umma.
"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate...
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mwananchi12 Jul
January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba
WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Kwanini Kinana na Nape hawaanzishi chama chao?
NAKUMBUKA kisa cha Abunuwasi. Vingi kati ya visa vyake ambapo kwa wale waliobahatika kusoma Hekaya za Abunuwasi vinaonekana ni vya kitoto na visivyo na uhalisia. Lakini baada ya tafakari fupi,...
10 years ago
Michuzi24 Aug
WAANDISHI WANAWAKE PWANI WAANZISHA CHAMA CHAO
WANAWAKE nchini wametakiwa kutokubali kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kuhofia kutengwa na familia zao badala yake wawe watoa taarifa ili kuwadhibiti watu wanaoendeleza vitendo hivyo ambavyo ni kinyume cha sheria na uvunjaji wa haki za binadamu.
Tabia ya kuficha ukatili wa kijinsia imesababisha wahusika kujikuta wakiathirika kutokana na vitendo hivyo ambavyo vimeshamiri kutokana na kuendelea kwa usiri ndani ya familia.
Hayo yalisema jana mjini Kibaha...