WAANDISHI WANAWAKE PWANI WAANZISHA CHAMA CHAO
Na John Gagarini, Kibaha
WANAWAKE nchini wametakiwa kutokubali kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kuhofia kutengwa na familia zao badala yake wawe watoa taarifa ili kuwadhibiti watu wanaoendeleza vitendo hivyo ambavyo ni kinyume cha sheria na uvunjaji wa haki za binadamu.
Tabia ya kuficha ukatili wa kijinsia imesababisha wahusika kujikuta wakiathirika kutokana na vitendo hivyo ambavyo vimeshamiri kutokana na kuendelea kwa usiri ndani ya familia.
Hayo yalisema jana mjini Kibaha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWATUMISHI WANAWAKE WA KRISTO WA KANISA LA TAG NCHINI WAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU KUANZISHWA KWA CHAMA CHAO
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mawakala huduma za pesa waanzisha chama
WAFANYAKAZI wa huduma za pesa wameanzisha Chama cha Mawakala wa Huduma za Pesa Kupitia Simu za Mkononi (CMPT) ili kutatua matatizo yanayowakabili kazini. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Kwanini Kinana na Nape hawaanzishi chama chao?
NAKUMBUKA kisa cha Abunuwasi. Vingi kati ya visa vyake ambapo kwa wale waliobahatika kusoma Hekaya za Abunuwasi vinaonekana ni vya kitoto na visivyo na uhalisia. Lakini baada ya tafakari fupi,...
10 years ago
Michuzi29 May
Viongozi Waanzilishi TAPSEA Walalamikia Uchaguzi wa Chama Chao
10 years ago
Mwananchi18 Jul
January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao
10 years ago
VijimamboWABUNGE WALIOMWITA LOWASSA FISADI SASA WAMKARIBISHA KWENYE CHAMA CHAO
By Florence Majani, Mwananchi
Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.
Wakati wabunge hao wakikubali kumpokea, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa amesema wananchi wasubiri mambo yatakapokuwa tayari badala ya kutegemea mitandao ya kijamii.
“Nitazungumza pale mambo yatakapokuwa sawa, siwezi kuzungumza sasa, subirini… sasa hivi...
10 years ago
MichuziCHADEMA NACHINGWEA WAKIKIMBIA CHAMA CHAO NA KUJIUNGA NA CCM, WAZIRI CHIKAWE APOKEA KADI ZAO NA KUWAKARIBISHA
5 years ago
MichuziWATUMISHI WA UMMA WANAWAKE WAANZISHA MTANDAO WA KUWASAIDIA KUFIKIA MALENGO CHANYA YA UONGOZI
Charles James, Michuzi TV
MTANDAO wa Watumishi wa Umma Wanawake ujulikanao kama Viongozi Wanawake Wanaochipukia Tanzania’ (EWLT) wamekuja na mpango wa kuleana na kubadilishana uzoefu katika kufikia malengo chanya ya kiuongozi.
Akizungumza katika uzinduzi wa mtandao huo mmoja wa waanzilishi, Bi Glory Mboya kutoka
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) amesema mtandao huo una lengo la kukuza Vijana wakike katika kufikia ngazi za juu za uongozi.
Bi Mboya amesema mtandao huo utajikita zaidi...
11 years ago
GPLWANAFUNZI WANAWAKE CHUO CHA CBE DAR WAWEKA HISTORIA, WAANZISHA MFUKO WA KUWAKOMBOA KIELIMU