WANAFUNZI WANAWAKE CHUO CHA CBE DAR WAWEKA HISTORIA, WAANZISHA MFUKO WA KUWAKOMBOA KIELIMU
![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMk7xcDBZehQV*O8kyvZoFQqL6QsK06GB0vrKvKURyHAaruBs9Hy7rMYBOdLIFZDworgc1UiXnLfDYZbn2B6ypDn/Pichana1.jpg?width=650)
Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Mary Mwangisa (kulia) akizungumza jambo kabla ya kuanza kwa maandamano ya wanafunzi wa Kike wa chuo cha CBE kampasi ya Dar es salaam kuzindua mchakato wa kuanzisha mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa kike chuoni hapo wenye lengo la kuwakomboa kielimu.Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Taaluma ya Chuo hicho Dkt. Ellen Oturu Okoedion. Waziri wa Wanawake wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Usimamizi wa maadili Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar waongeza ufaulu
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Na Aron Msigwa –MAELEZO
Hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kuendelea kuweka msisitizo katika usimamizi wa maadili kwa wanafunzi imeanza kuzaa matunda kufuatia kuogezeka kwa ufaulu wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma chuoni hapo.
Hayo yamebainishwa leo...
10 years ago
Dewji Blog13 Jan
Dkt. Kigoda azindua bodi ya uongozi ya chuo cha CBE leo Jijini Dar
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda akisalimiana na viongozi na wafanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam alipowasili chuoni hapo kuzindua Bodi mpya ya uongozi ya Chuo hicho leo.
Na Aron Msigwa –MAELEZO
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda amezindua rasmi Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na kuitaka bodi hiyo kufanya kazi zake kwa kuzingatia sheria na kushirikiana na menejimenti ya chuo hicho kuweka mikakati na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXWA2yrLrAZvmBWYh6DIcxjsy1FsVGvGE62qCw3hTTzOmrN-HklTad5wEaDtpR7uLh2oDm1Izziuw7XGEYCILI-e/CBE1.jpg?width=650)
USIMAMIZI WA MAADILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DAR ES SALAAM WAONGEZA UFAULU.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qtwox7lrZtc/VmfqbR8rmXI/AAAAAAAILNo/uhfTqOfyGj4/s72-c/IMG_7109.jpg)
WANAFUNZI WA CHUO CHA KODI JIJINI DAR WATIMIZA WAJIBU KUFANYA USAFI KATIKA CHUO CHAO
CHUO cha Kodi cha Mwenge jijini Dar es Salam wameitikia wito wa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli kufanya usafi katika mazingira ya Chuo hicho.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Edward Mwakimonga amewasihi wanafunzi pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa usafi ni afya na ikiwezekana iwe ni kawaida kufanya usafi kila baada ya wiki mara moja ili kuweka mazingira safi.
Nae Waziri Mkuu wa serikali ya chuo cha Kodi, Jeremia Shushu amewashukuru wanafunzi pamoja...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Z26jJteDEPA/U9tOGpyjiAI/AAAAAAAF8Kk/CX3weyazB0A/s72-c/unnamed+(11).jpg)
CHUO CHA CBE CHAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 JIJINI DAR, WADAU MBALIMBALI WAPONGEZA UBORA WA ELIMU INAYOTOLEWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z26jJteDEPA/U9tOGpyjiAI/AAAAAAAF8Kk/CX3weyazB0A/s1600/unnamed+(11).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-fdEqG4j-i0o/U9tOIEupGGI/AAAAAAAF8Ks/3FLdwSay8hk/s1600/unnamed+(12).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5G-a*oRq3Ty5JO1gmmsHjE7krMIIOM00jG47uR3-5I*1iDSfv55tY1-FoGuddNbYtLWwyHIFMdBxJjJKSSHpJk/Pichana1.jpg?width=650)
CHUO CHA CBE CHAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 JIJINI DAR, WADAU MBALIMBALI WAPONGEZA UBORA WA ELIMU INAYOTOLEWA.
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE