Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi Waanzilishi TAPSEA Walalamikia Uchaguzi wa Chama Chao

Viongozi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) walioko madarakani sasa ambao wanaolalamikiwa kuingia madarakani kinyume na katiba ya chama hicho wakizungumza na baadhi ya waandishi wa habari mjini Dodoma kuzungumzia mkutano wao mkuu unaoanza leo mjini Dodoma. Viongozi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) walioko madarakani sasa ambao wanaolalamikiwa kuingia madarakani kinyume na katiba ya chama hicho wakizungumza na baadhi ya waandishi wa habari mjini Dodoma kuzungumzia mkutano wao mkuu unaoanza leo mjini Dodoma.Viongozi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) walioko madarakani sasa ambao wanaolalamikiwa kuingia madarakani kinyume na katiba ya chama hicho wakizungumza na baadhi ya waandishi wa habari mjini Dodoma kuzungumzia mkutano wao mkuu unaoanza leo mjini Dodoma. Viongozi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) walioko madarakani sasa ambao wanaolalamikiwa kuingia madarakani kinyume na katiba ya chama hicho wakizungumza na baadhi ya waandishi wa habari mjini Dodoma kuzungumzia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAPSEA YATANGAZA VIONGOZI WAKE WAPYA

 Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), Zuhura Songambele (kulia), akionesha katiba ya chama hicho wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu chama hicho kupata viongozi wapya na mambo mengine. Kushoto ni Katibu wa TAPSEA, Festo Melkiory. Makamu Mwenyekiti wa TAPSEA, Janejelly James (kulia), akizungumza katika mkutano huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

9 years ago

CCM Blog

CCM RORYA YAWASIMAMISHA VIONGOZI 16 WALIOSALITI CHAMA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

CCM wilaya ya Rorya imewasimamisha viongozi wake 16 wa ngazi mbali mbali wilayani humo kwa kubainika kuwa wakati wa uchguzi mkuu walisaidia UKAWA hali ambayo imesababisha CCM kupoteza kata nane.

Mwenyekiti wa CCM wa wilata hiyo mkoani Mara, Samwel Kiboye amesema Chama kimewapa siku 13 kutoa utetezi wao kabla ya kuvuliwa uanachama

 

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI WANAWAKE PWANI WAANZISHA CHAMA CHAO

Na John Gagarini, Kibaha
WANAWAKE nchini wametakiwa kutokubali kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kuhofia kutengwa na familia zao badala yake wawe watoa taarifa ili kuwadhibiti watu wanaoendeleza vitendo hivyo ambavyo ni kinyume cha sheria na uvunjaji wa haki za binadamu.
Tabia ya kuficha ukatili wa kijinsia imesababisha wahusika kujikuta wakiathirika kutokana na vitendo hivyo ambavyo vimeshamiri kutokana na kuendelea kwa usiri ndani ya familia.
Hayo yalisema jana mjini Kibaha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Kinana na Nape hawaanzishi chama chao?

NAKUMBUKA kisa cha Abunuwasi. Vingi kati ya visa vyake ambapo kwa wale waliobahatika kusoma Hekaya za Abunuwasi vinaonekana ni vya kitoto na visivyo na uhalisia. Lakini baada ya tafakari fupi,...

 

5 years ago

Michuzi

Kailima:Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafunguji Tanzania (CCWT) kufanyika 16 Julai, 2020.



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa taarifa kwa Umma kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) utakaofanyika tarehe 16 Julai, 2020. Kailima, ametoa taarifa hiyo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dodoma.Kaimu Msajili wa Jumuiya za Kijamii wa Wizara...

 

5 years ago

Michuzi

KAILIMA AZUNGUMZIA SABABU ZA KUFANYIKA UCHAGUZI MKUU WA VIONGOZI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA ( CCWT)

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza kuhusu sababu za kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa  Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT). Kailima, amezungumza leo  katika Mkutano  na waandishi wa habari uliofanyika, jijini Dodoma.  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kushoto) akizungumza kuhusu sababu za kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa  Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kutokana na malalamiko...

 

10 years ago

Mwananchi

January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE WALIOMWITA LOWASSA FISADI SASA WAMKARIBISHA KWENYE CHAMA CHAO


By Florence Majani, Mwananchi
Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.

Wakati wabunge hao wakikubali kumpokea, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa amesema wananchi wasubiri mambo yatakapokuwa tayari badala ya kutegemea mitandao ya kijamii.

“Nitazungumza pale mambo yatakapokuwa sawa, siwezi kuzungumza sasa, subirini… sasa hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani