TAPSEA YATANGAZA VIONGOZI WAKE WAPYA
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), Zuhura Songambele (kulia), akionesha katiba ya chama hicho wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu chama hicho kupata viongozi wapya na mambo mengine. Kushoto ni Katibu wa TAPSEA, Festo Melkiory.
Makamu Mwenyekiti wa TAPSEA, Janejelly James (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi29 May
Viongozi Waanzilishi TAPSEA Walalamikia Uchaguzi wa Chama Chao
![Viongozi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) walioko madarakani sasa ambao wanaolalamikiwa kuingia madarakani kinyume na katiba ya chama hicho wakizungumza na baadhi ya waandishi wa habari mjini Dodoma kuzungumzia mkutano wao mkuu unaoanza leo mjini Dodoma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_00042.jpg)
![Viongozi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) walioko madarakani sasa ambao wanaolalamikiwa kuingia madarakani kinyume na katiba ya chama hicho wakizungumza na baadhi ya waandishi wa habari mjini Dodoma kuzungumzia mkutano wao mkuu unaoanza leo mjini Dodoma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0011.jpg)
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Tanzania yatangaza wagonjwa 7 wapya kisiwani Zanzibar
5 years ago
Michuzi5 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi12 Mar
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA YATANGAZA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
![](https://3.bp.blogspot.com/-Twf6T849VFA/Ux61eMEbO7I/AAAAAAACrNU/wKcyjApmjL4/s1600/200px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
TAHLISO yapata viongozi wapya
JUMUIA ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), imepata uongozi mpya. Katika uchaguzi huo Musa Mudede, Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Bugando cha...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
KACU yapata viongozi wapya
CHAMA Kikuu cha Ushirika wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga (KACU), kimepata viongozi wapya wa Bodi huku mjumbe mmoja akitaka kujivua madaraka hayo ya ujumbe baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Chaumma yapata viongozi wapya
MWENYEKITI wa Chama cha Ukombuzi wa Umma (Chaumma), Hashim Sipunda, amesema hana imani na Tume ya Uchaguzi, hivyo kuomba kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itatenda haki. Sipunda alitoa...
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
KCU wapata viongozi wapya
CHAMA Kikuu cha Ushirika Mkoa Kagera (KCU 1990) Ltd, kimewachagua viongozi wapya huku wa zamani wakitoshwa katika mkutano mkuu maalum uliofanyika mjini hapa, juzi. Uchaguzi huo umefanyika chini ya usimamizi...