ELIMU YA AWALI YAENDESHWA BILA VITABU TUNDURU
![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0094.jpg)
Wanafunzi wa darasa la awali Shule ya Msingi Nakayaya wakiwa darasani. Hata hivyo shule hii haina chumba cha darasa la awali chumba hiki kimejengwa kwa matumizi mengine na kwa sasa kinatumika kwa muda kwa kuwa kipo katika ujenzi. Mwalimu Christina Komba (kulia) wa darasa la awali Shule ya Msingi Tunduru Mchanganyiko akiwa darasani. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Majengo, Madina Mkali akizungumza na mwandishi wa habari hizi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Sep
ELIMU YA AWALI YAENDESHWA BILA VITABU TUNDURUâ€
![Wanafunzi wa darasa la awali Shule ya Msingi Nakayaya wakiwa darasani. Hata hivyo shule hii haina chumba cha darasa la awali chumba hiki kimejengwa kwa matumizi mengine na kwa sasa kinatumika kwa muda kwa kuwa kipo katika ujenzi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0094.jpg)
![Mwalimu Christina Komba (kulia) wa darasa la awali Shule ya Msingi Tunduru Mchanganyiko akiwa darasani.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0073.jpg)
![Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Majengo, Madina Mkali.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0165.jpg)
![Mwalimu wa muda wa darasa la awali, Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi akionesha baadhi ya nakala za vitabu walivyonavyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0114.jpg)
10 years ago
Vijimambo05 Oct
Elimu ya awali Tunduru na changamoto zake
![Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/Mwalimu-wa-darasa-la-awali-wa-Shule-ya-Msingi-Nakayaya-Teckla-Milanzi-kulia-akiwa-na-wanafunzi-wake-eneo-ambalo-hutumika-kama-darasa-la-wanafunzi-hao..jpg)
WADAU wa elimu nchini Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) nchini Tanzania itatolewa katika misingi inayostahiki itakuwa ni njia moja wapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo maana wanaendelea kupaza sauti wakiitaka serikali kupitia vyombo husika kuboresha kwanza elimu ya awali kabla...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Elimu ya awali Tunduru na changamoto lukuki
WADAU wa elimu Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) itatolewa katika misingi inayostahiki, itakuwa ni njia mojawapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo...
11 years ago
GPLMAFUNZO YA MPIRA WA RUGBY YAENDESHWA SHULE ZA MSINGI DAR
11 years ago
GPLASKARI 96 WA TANAPA WAMALIZA MAFUNZO YA AWALI WAAHIDI KUPAMBANA NA MAJANGIRI
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania
WARIOBA IGOMBE
NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.
Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.
Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Elimu ya awali TZ,nani anawajibika?
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Serikali yashauriwa kuwekeza elimu ya awali
11 years ago
Mwananchi13 May
Je, tumewekeza ipasavyo katika elimu ya awali?