Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, tumewekeza ipasavyo katika elimu ya awali?

Rasimu ya Sera ya Elimu inaweka bayana kuwa moja ya malengo ya elimu ya awali, ni kuhimiza na kukuza maendeleo yanayojumuisha ukuaji, haiba na uwezo wa mtoto kimwili, kiakili, kimaadili, kiroho na kumwandaa mtoto kwa ajili ya elimu ya msingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania

WARIOBA IGOMBE

NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.

Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.

Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...

 

11 years ago

BBCSwahili

Elimu ya awali TZ,nani anawajibika?

Wiki hii katika Haba na Haba tunaangalia elimu ya awali nchini Tanzania. Je nani anawajibika?

 

10 years ago

Vijimambo

Elimu ya awali Tunduru na changamoto zake

Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.
WADAU wa elimu nchini Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) nchini Tanzania itatolewa katika misingi inayostahiki itakuwa ni njia moja wapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo maana wanaendelea kupaza sauti wakiitaka serikali kupitia vyombo husika kuboresha kwanza elimu ya awali kabla...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yashauriwa kuwekeza elimu ya awali

Walimu wa Elimu ya Awali (Chekechea), Mkoa wa Tanga wamezidua tawi la chama chao, huku wakielekeza lawama kwa jamii na Serikali kwa kushindwa kuwapa kipaumbele.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Elimu ya awali Tunduru na changamoto lukuki

WADAU wa elimu Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) itatolewa katika misingi inayostahiki, itakuwa ni njia mojawapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

ELIMU YA AWALI YAENDESHWA BILA VITABU TUNDURU‏

Wanafunzi wa darasa la awali Shule ya Msingi Nakayaya wakiwa darasani. Hata hivyo shule hii haina chumba cha darasa la awali chumba hiki kimejengwa kwa matumizi mengine na kwa sasa kinatumika kwa muda kwa kuwa kipo katika ujenzi.  Wanafunzi wa darasa la awali Shule ya Msingi Nakayaya wakiwa darasani. Hata hivyo shule hii haina chumba cha darasa la awali chumba hiki kimejengwa kwa matumizi mengine na kwa sasa kinatumika kwa muda kwa kuwa kipo katika ujenzi.Mwalimu Christina Komba (kulia) wa darasa la awali Shule ya Msingi Tunduru Mchanganyiko akiwa darasani. Mwalimu Christina Komba (kulia) wa darasa la awali Shule ya Msingi Tunduru Mchanganyiko akiwa darasani.Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Majengo, Madina Mkali.Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Majengo, Madina Mkali akizungumza na mwandishi wa habari hizi (hayupo pichani) ofisini kwake.Mwalimu wa muda wa darasa la awali, Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi akionesha baadhi ya nakala za vitabu walivyonavyo. Mwalimu wa muda wa darasa la awali,...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ijayo ije na tiba ya elimu ya awali

Mwaka huu Watanzania tunafanya uamuzi wa kikatiba wa kuwachagua wawakilishi wetu katika ngazi mbalimbali

 

10 years ago

Mwananchi

Mazingira ya kusikitisha ya utoaji wa elimu ya awali Kigoma

Ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi Bigabiro iliyopo Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, mwanafunzi mmoja anaingia na kuomba apewe ndoo aliyoagizwa na mwalimu wake.

 

10 years ago

GPL

ELIMU YA AWALI YAENDESHWA BILA VITABU TUNDURU‏

Wanafunzi wa darasa la awali Shule ya Msingi Nakayaya wakiwa darasani. Hata hivyo shule hii haina chumba cha darasa la awali chumba hiki kimejengwa kwa matumizi mengine na kwa sasa kinatumika kwa muda kwa kuwa kipo katika ujenzi. Mwalimu Christina Komba (kulia) wa darasa la awali Shule ya Msingi Tunduru Mchanganyiko akiwa darasani. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Majengo, Madina Mkali akizungumza na mwandishi wa habari hizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani