Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira Kitaifa
![](http://1.bp.blogspot.com/-7BXWgr7OVqw/VojdvAeMUHI/AAAAAAAIQB8/Vu8zb962_HM/s72-c/3d7ebff8-f80d-4ee6-b63d-ac8abd6892ff.jpg)
Baahi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakitandaza kifusi kwa kukiweka sawa katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumzaa na wananchi baada ya kumalizika kwa zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yoehOnRZV8U/VojPBuOtFpI/AAAAAAAIQAk/3rcP76F7UAk/s72-c/IMG_3011.jpg)
Dkt. Shein afanya Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira Kitaifa
![](http://3.bp.blogspot.com/-yoehOnRZV8U/VojPBuOtFpI/AAAAAAAIQAk/3rcP76F7UAk/s640/IMG_3011.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-23KAOMJK7pU/VojPB6P9E-I/AAAAAAAIQAo/mbKRooRlUrk/s640/IMG_3016.jpg)
9 years ago
Global Publishers03 Jan
Dkt. Shein azindua Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizoa taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibeba taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-iVmsXFJKn4I/Voja5WVSejI/AAAAAAAIQBQ/6306vo6oqKw/s72-c/3cc425c0-ee06-47ec-a347-a4fccfa90f54.jpg)
sherehe za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar zaanza rasmi kwa usafi wa mazingira
9 years ago
Global Publishers03 Jan
Balozi Seif afanya usafi kwenye uzunduzi wa sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akishiriki na Wananchi, Vikundi ya vya usafi wa mazingira pamoja na Vikosi vya Ulinzi kwenye usafi wa mazingira hapo Kwahani Uwanja wa Farasi ikiwa ni kuanza rasmi kwa maadhimisho ya sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Balozi Seif akimkabidhi vifaa vya usafi wa mazingira Mwenyekiti wa Kikundi cha Usafi wa Mazingira cha Kilimani { Kilimani City } Nd. Khamis Shaali Chum { mwenye T. Shirt Nyeupe }vilivyotolewa...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Vitendea kazi ni muhimu kwa usafi wa mazingira
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Makandarasi Dar matatani kwa kushindwa kufanya usafi wa mazingira
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aE_F3-FoGS8/U8l3cdORocI/AAAAAAAF3gU/TmoGR6rwqRU/s72-c/unnamed+(78).jpg)
Waziri wa Mazingira atoa onyo kali kwa kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd kwa kukiuka taratibu za usafi
![](http://4.bp.blogspot.com/-aE_F3-FoGS8/U8l3cdORocI/AAAAAAAF3gU/TmoGR6rwqRU/s1600/unnamed+(78).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zOhR2A0mxtQ/U8l3cm9gz0I/AAAAAAAF3gY/UfnTAlFvHtc/s1600/unnamed+(80).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tMNMUEhIXXk/U8l3c5CO0YI/AAAAAAAF3gc/CcQx-XJewds/s1600/unnamed+(81).jpg)
10 years ago
MichuziUSAFI WA MAZINGIRA UENDANE NA UTOAJI WA ELIMU BORA KWA WANAFUNZI-DC.MUSHI.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-L0mrIXe3D5U/VmhwNSvCW7I/AAAAAAACCzY/kU8OeUZI4es/s72-c/11.jpg)
WIZARA YA FEDHA YAADHIMISHA SHEREHE ZA UHURU KWA KUFANYA USAFI
![](http://2.bp.blogspot.com/-L0mrIXe3D5U/VmhwNSvCW7I/AAAAAAACCzY/kU8OeUZI4es/s640/11.jpg)
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/c80N40DwhOYDj8jDmf1PY-AvdSdwNenaZVy3NZsfUAI4k0m0OKPQeiJARmQ7fiXfiFDz4Kgay-OSrnXKOC0Gk8poRK4CYzOJ3RtKKsW9f7gHR6MXuFOT=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/fe3.jpg)
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/gVRRKf-ZQuRmFmGLdieAB8lb9WTkUhILvji-X2xvCepBNclWgBKK-ixuzPQcprrigpYSWprHf3q6zhvCPmsQoYwQVrZozL9FX1MOaEFoASD-v7Tjv4tn=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/fe7.jpg)