WIZARA YA FEDHA YAADHIMISHA SHEREHE ZA UHURU KWA KUFANYA USAFI
![](http://2.bp.blogspot.com/-L0mrIXe3D5U/VmhwNSvCW7I/AAAAAAACCzY/kU8OeUZI4es/s72-c/11.jpg)
Baadhi ya watumishi wakikata matawi ya miti kwa makini bila kuharibu nya za simu yaliyokuwa kizuizi katika barabara eneo la ofisi za wizara ya fedha kwa lengo la kufanya usafi leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile akiongea na watumishi wa wizara hiyo leo jijini Dar es salaam mara baada ya kumaliza zoezi la kufanya usafi ikiwa ni mwitikio na utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kufanya usafi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNSSF YAADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU KWA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI TANDALE
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wizara ya Uchukuzi yaadhimisha wiki ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi na kupanda Miti Bandarini
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi, Bi, Tumpe Mwaijande (kulia), akipanda mti katika eneo la bandari ya Dar es Salaam jana, kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Mazingira. Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira yanafanyika kitaifa mkoani Mwanza ambapo kwa mwaka huu kauli mbiu ni ‘Tunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania’.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo...
11 years ago
MichuziWIZARA YA UCHUKUZI YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUFANYA USAFI NA KUPANDA MITI YA KUZUIA MMOMOMYOKO WA ARDHI KWENYE ENEO LA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
MeTL Group yasherekea siku ya Uhuru kwa kufanya usafi Coco Beach
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) imesherekea sherehe za Uhuru wa Tanganyika, Disemba 9 kwa kufanya usafi katika ufukwe wa Coco Beach kama jinsi alivyoagiza rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuagiza kuwa siku ya Uhuru itumike kufanya usafi kutokana na kushamiri kwa uchafu katika mazingira yanayotuzunguka.
Kwa kufata agizo hilo la Dkt. Magufuli, MeTL Group kwa kujumuisha viongozi wa kampuni na wafanyakazi wake imefanya usafi...
11 years ago
Michuzi03 May
WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s72-c/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s640/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_UfMJOEQiIc/Vmpl_lWbDXI/AAAAAAAILlU/__MwgOyGPPQ/s640/AqveZdopwZHFBpiPoepzMj4VLm0Lma6XEp9hMFXY6CdU.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-T6qK-ie3y0U/Vmpl9qcON0I/AAAAAAAILlE/tuC2elMDZk4/s640/AofBcxIlfHHONd4L3WBx3D_DBxJ0YFsX4NHd4jQysETK.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
TPB yaadhimisha Wiki ya Wateja kwa usafi
BENKI ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Metropolitan wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo yanayowazunguka ili kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja inayosherehekewa na benki hiyo kila mwaka. Maadhimisho hayo...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z6TWxWPqoHY/VoH-WjUW8PI/AAAAAAAIPF0/DBTsjgJSnKo/s72-c/3db1384b-0a1c-4f01-b51c-b6b6da09d9bb.jpg)
Dkt. Mpango awaasa Watumishi Wizara ya Fedha na Mipango kufanya kazi kwa bidii ili kukuza uchumi wa nchi.
9 years ago
MichuziMKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015
Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...