WIZARA YA UCHUKUZI YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUFANYA USAFI NA KUPANDA MITI YA KUZUIA MMOMOMYOKO WA ARDHI KWENYE ENEO LA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo la bandari ya Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo kwa mwaka huu kauli mbiu ni ‘Tunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania’. Sehemu ya wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake wakiwa kwenye zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Bandari ya Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wizara ya Uchukuzi yaadhimisha wiki ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi na kupanda Miti Bandarini
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi, Bi, Tumpe Mwaijande (kulia), akipanda mti katika eneo la bandari ya Dar es Salaam jana, kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Mazingira. Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira yanafanyika kitaifa mkoani Mwanza ambapo kwa mwaka huu kauli mbiu ni ‘Tunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania’.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo...
10 years ago
Michuziwafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar
Akiongea mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...
10 years ago
MichuziWAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI MAREKANI WATEMBEELEA WIZARA YA UCHUKUZI NA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO
5 years ago
MichuziTFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...
9 years ago
MichuziWIZARA YA FEDHA YAADHIMISHA SHEREHE ZA UHURU KWA KUFANYA USAFI
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI NA WANANCHI WA ENEO LAKE KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya wananchi wakazi wa eneo lake la Oysterbay- Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili eneo la Kituo cha Daladala cha...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
‘Tunzeni mazingira kwa kupanda miti’
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, amewahimiza wananchi kushirikiana katika upandaji miti, ili kuzuia mmomonyoko wa ardhi, kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Mjema...
11 years ago
Michuzi03 May
WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI