Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kananura na harakati za utoaji wa elimu bora nchini

ELIMU yetu imezongwa na mlolongo wa kero ambazo zinachangia matokeo mabaya kwa wanafunzi kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu. Hali hii ni mbaya kwa shule za serikali ambazo zinazidi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jamii iliyoamka ni mtaji wa utoaji elimu bora

Kuelimisha watu ni mchakato rasmi unaozalisha watu wenye maarifa, utambuzi, ubunifu na uwezo wa kufikiri, kujitambua pamoja na ujuzi wa aina mbalimbali wanaoutumia kuunda vitu anuai, kutoa huduma na kuvumbua njia mpya za kuleta ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili jamii ili kujiletea maendeleo.

 

10 years ago

Michuzi

USAFI WA MAZINGIRA UENDANE NA UTOAJI WA ELIMU BORA KWA WANAFUNZI-DC.MUSHI.

Mkuu wa Wilaya Ilala, Raymond Mushi (katikati) akizungumza katika siku ya kilele cha maadhimisho ya uboreshaji mazingira ya shule za msingi na sekondari za halmashauri ya manispaa ya Ilala, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam leo. (kushoto) Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mugurumu(kulia) ni Mwenyekiti kamati ya uchumi na huduma za Jamii Manispaa ya Ilala  Angelina Malembeka.0Kikundi Mganda cha shule ya Msingi Umoja ya Manispaa ya Ilala kikitoa burudani...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO

Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria. Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini…

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania na matabaka katika utoaji elimu

>Asubuhi imewadia, milio ya mageti yanayofunguliwa inasikika mtaani.Ni mtaa uliopo mjini katika kitongoji kimoja wanachoishi watu wenye uwezo mzuri wa fedha.

 

11 years ago

Dewji Blog

Utoaji elimu ya afya ya uzazi na ujinsia wafanikiwa

DSC09685

Mratiibu msaidizi wa polisi mkoa wa Singida,Irene Mbwatila,(anayeangalia kamera),akizungumza na timu ya pamoja ya maafisa wa shirika la HAPA,YMC na RFSU, inayofanya utafiti juu ya mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika afya ya uzazi na ujinsia.

DSC09706

Baadhi ya wanaume wakiwa na wake zao wakazi wa kijiji cha Ntuntu wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, wakiwa kwenye foleni katika kliniki ya kijijini hapo,wakisubiri kuingia kumwona muuguzi. Elimu iliyotolewa kwa pamoja na mashirika ya HAPA na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mazingira ya kusikitisha ya utoaji wa elimu ya awali Kigoma

Ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi Bigabiro iliyopo Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, mwanafunzi mmoja anaingia na kuomba apewe ndoo aliyoagizwa na mwalimu wake.

 

11 years ago

GPL

USIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014

Dk. Maria Kamm akiwasii ndani ya Ukumbi wa African Dreams. Mama Magreth Sitta (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa alipowasili ukumbini.…

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO

Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio…

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani