Biashara ya mapambo yamtayarisha mjasiriamali wa kike
Kwa mtaji wa dola 200 sasa, mjasiri amali wa kike huko Manchester apata umaarufu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Sep
MJASIRIAMALI : Biashara yoyote inapaswa kuwa na maadili
Mara nyingi baadhi ya watu wamekuwa wakifikiri kuwa wajasiriamali ni watu wanaoendesha shughuli zao bila mfumo na maadili.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QltHpcOjYwI/XoH2qUkgE1I/AAAAAAALllA/5q3xg4GDbog7jiegIqDlcUVO5z9-ea0ewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-QltHpcOjYwI/XoH2qUkgE1I/AAAAAAALllA/5q3xg4GDbog7jiegIqDlcUVO5z9-ea0ewCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Akizungumza leo Waziri Bashungwa amempongeza Jonas Urio kwa ubunifu wake huo wa kutengeza kifaa kizuri na bora cha kunawia mikono ambacho kinaweza kutumiwa na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuhudumia watu mbalimbali kusafisha mikono yao ili kuendeleza...
9 years ago
Mwananchi27 Aug
MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?
Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Kocha akerwa na mapambo ya wachezaji
Kwa miaka ya hivi karibuni baadhi ya wachezaji wa soka Afrika Mashariki wameiga mitindo ya wachezaji wa ligi za ulaya kama vile kupaka nywele zao rangi na wengine nao wakivalia vipuli.
10 years ago
TheCitizen24 Aug
Fare thee well, brave Mapambo Mashili
The ugly, gristly and most horrendous and heinous crime is back -- the trade in albino body parts. The killing of Mapambo Mashili in Igunga District, while bravely fighting a group of armed thugs who were after his wife who lives with albinism, tells it all.
11 years ago
KwanzaJamii12 May
Wavuvi wanaozamia samaki wa mapambo wanadhulumiwa
Na Albano Midelo
WAVUVI wanaofanyakazi ya kuzamia samaki wa mapambo katika ziwa Nyasa eneo la Liuli mkoani Ruvuma wanadhulumiwa na makampuni ambayo yanauza samaki hao kwa faida kubwa.
Utafiti unaonyesha kuwa tangu mwaka 1993 kampuni za kigeni zinauza samaki wa mapambo wanaovuliwa kutoka Liuli katika nchi za Ujerumani,Ufaransa na Norway ambapo samaki mmoja huuzwa kati ya dola 450 hadi dola 500 huku wavuvi wanaofanyakazi ya kuzamia katika makampuni hayo wakiendelea kuwa masikini na wengine...
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI NA MAPAMBO YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
Kamati ya maandalizi na mapambo ikipata picha ya pamoja baada ya kupamba ukumbi wa Oxford uliopo Lanham, Maryland katika kujiandaa kusherehekea kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Ellie na Nele: Wabadili jinsia kutoka ya kike hadi kiume na kurejesha ya kike tena
Wanaume wawili waliobadili jinsia na kubadili fikra zao katika ya safari yao ya maisha
5 years ago
MichuziMBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI TAULO ZA KIKE 'PEDI' ZA MIL 7.8 KWA WANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA 2020 Inbox x
Na Kadama Malunde - Malunde 1 bogMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi Taulo laini za kike ‘Pedi’ zinazofuliwa zenye thamani ya shilingi milioni 7.7 zilizotokana na mchango wake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania