Wavuvi wanaozamia samaki wa mapambo wanadhulumiwa
Na Albano Midelo WAVUVI wanaofanyakazi ya kuzamia samaki wa mapambo katika ziwa Nyasa eneo la Liuli mkoani Ruvuma wanadhulumiwa na makampuni ambayo yanauza samaki hao kwa faida kubwa. Utafiti unaonyesha kuwa tangu mwaka 1993 kampuni za kigeni zinauza samaki wa mapambo wanaovuliwa kutoka Liuli katika nchi za Ujerumani,Ufaransa na Norway ambapo samaki mmoja huuzwa kati ya dola 450 hadi dola 500 huku wavuvi wanaofanyakazi ya kuzamia katika makampuni hayo wakiendelea kuwa masikini na wengine...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Wavuvi: Mradi wa gesi unatupunguzia samaki baharini
10 years ago
Habarileo09 Aug
Wavuvi wahoji soko la samaki Kalambo kudoda
WAVUVI wa vijiji vya mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo katika Mkoa wa Rukwa, wamesikitishwa kuona soko la kisasa la samaki likishindwa kufanya kazi miaka mitatu sasa tangu ujenzi wake ukamilike, huku ujenzi wake ukielezwa kugharimu zaidi ya Sh milioni 802.
11 years ago
Habarileo13 Apr
‘Wavuvi wanaua wanawake kuvutia samaki kwenye mitego’
WAKATI Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu ametuma timu maalumu ya wataalamu wilaya ya Butiama mkoani Mara, kuchunguza matukio ya mauaji yanayowalenga wanawake, taarifa zinasema mauaji hayo hufanywa na wavuvi.
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia
Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.
Na. Jumbe Ismailly
[IGUNGA] Kituo cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Burundi;Watoto Wakimbizi wanadhulumiwa
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A_gEwZBSsvM/VabjsBhtUTI/AAAAAAABjXo/IERsB3eJMSQ/s72-c/OFFICIAL%2BPOSTER.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eBS0-0Ni0-E/U4OU1O1o5QI/AAAAAAAFlQs/Mz4xStem7eo/s72-c/unnamed+(66).jpg)
TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA JUNI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fi8JaCfKDHs/VL_GqSbYNxI/AAAAAAAG-wQ/cVS8-e7_MWI/s72-c/unnamed.png)
11 years ago
Dewji Blog27 May
Kumbukumbu ya Kifo cha Mangwea Juni 28, Samaki Samaki Morogoro
Mangwea enzi za uhai wake.
Na Andrew Chale
MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki Samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.
Akizungumza na mtando huu , Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ alisema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert –...