Kumbukumbu ya Kifo cha Mangwea Juni 28, Samaki Samaki Morogoro
Mangwea enzi za uhai wake.
Na Andrew Chale
MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki Samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.
Akizungumza na mtando huu , Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ alisema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert –...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA JUNI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.
Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ amesema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert - Kumbukumbu ya kifo cha Albert Mangwe’.
Kareem amewaomba wadau...
11 years ago
GPL
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA MEI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
Mangwea enzi za uhai wake . Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo la ‘Love Concert –Kumbukumbu ya Mangwea’, Kareeem Omary ‘KO’ (kushoto) akiwa na familia ya marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ Mama mzazi wa Mangwea (Katikati) na kaka wa Mangwea, Keneth Mangwea (kulia).…
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
USIKU WA WATEMBO NDANI YA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI NI RAHA TU



10 years ago
Michuzi
WADAU KIBAO NDANI YA USIKU WA WAREMBO KATIKA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI JIJINI DAR
Siku ya warembo ni usiku unaowakutanisha pamoja warembo wote wa mjini ambao hufanyika kila Alhamis ndani ya Kiota cha maraha cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.Usiki huo hunogeshwa zaidi na magoma ya nguvu yanayoporomoshwa kutoka kwa maDJ wakali wa Samaki Samaki ambao ni Dj Sinyorita the hottest female DJ in town na DJ Vasley.
Mmoja wa wadada warembo katika Usiku wa Warembo ndani ya kiota cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.
Wadau kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar...


10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
SAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...
5 years ago
Michuzi
NDEGE YATUA MWANZA KUBEBA SAMAKI, MHANDISI STELLA MAYANYA ATANGAZA SOKO LA SAMAKI WA KANDA YA ZIWA.


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya{kulia} akikagua uandaaji wa mizigo ya minofu ya samaki ya kilogram 17,262 zenye thamani ya Tsh. 191,874,837.78 iliyopelekwa ndege ya Ethiopia Airlines...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania