Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wavuvi: Mradi wa gesi unatupunguzia samaki baharini

>Katika kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa upatikanaji wa samaki wa kitoweo katika pwani ya Bahari ya Hindi, eneo la Mkoa wa Mtwara, umekuwa mgumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Wavuvi wanaozamia samaki wa mapambo wanadhulumiwa

Na Albano Midelo WAVUVI wanaofanyakazi ya kuzamia samaki wa mapambo katika ziwa Nyasa eneo la Liuli mkoani Ruvuma wanadhulumiwa na makampuni ambayo yanauza samaki hao kwa faida kubwa. Utafiti unaonyesha kuwa tangu mwaka 1993 kampuni za kigeni zinauza samaki wa mapambo wanaovuliwa kutoka Liuli katika nchi za Ujerumani,Ufaransa na Norway ambapo samaki mmoja huuzwa kati ya dola 450 hadi dola 500 huku wavuvi wanaofanyakazi ya kuzamia katika makampuni hayo wakiendelea kuwa masikini na wengine...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ukatili baharini: Simulizi kuhusu wavuvi waliotoswa kwenye maji na Wachina

Video inayoonesha mwili wa kijana mmoja akitoswa kikatili baharini imesababisha kufanyika kwa uchunguzi kimataifa, na tukio hilo kuonesha kuwepo kwa viashiria vya hali ''kama ya utumwa''

 

5 years ago

BBCSwahili

Wavuvi saba Watanzania wawekwa karantini baada ya kuokolewa baharini Kenya

Wavuvi wa saba raia wa Tanzania waliookolewa baada ya boti yao kupinduka katika bahari ya hindi siku tatu zilizopita wamewekwa karantini.

 

10 years ago

Habarileo

Wavuvi wahoji soko la samaki Kalambo kudoda

WAVUVI wa vijiji vya mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo katika Mkoa wa Rukwa, wamesikitishwa kuona soko la kisasa la samaki likishindwa kufanya kazi miaka mitatu sasa tangu ujenzi wake ukamilike, huku ujenzi wake ukielezwa kugharimu zaidi ya Sh milioni 802.

 

11 years ago

Habarileo

‘Wavuvi wanaua wanawake kuvutia samaki kwenye mitego’

WAKATI Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu ametuma timu maalumu ya wataalamu wilaya ya Butiama mkoani Mara, kuchunguza matukio ya mauaji yanayowalenga wanawake, taarifa zinasema mauaji hayo hufanywa na wavuvi.

 

11 years ago

Mwananchi

Gesi Mtwara kero kwa wavuvi

Utafutaji wa mafuta katika kina kirefu cha bahari mkoani Mtwara bado unaendelea licha ya baadhi ya makampuni kuendelea kubaini gesi badala ya mafuta.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia

SAM_0161

Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.

SAM_0148

Ofisa Uvuvi Mfawidhi Kituo cha kuendeleza ufugaji samaki kanda ya kati, Bwana Renatus Charles Karumbete akitoa maelezo ya namna samaki wanavyozalishwa katika kituo hicho.

Na. Jumbe Ismailly

[IGUNGA] Kituo  cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wa mpunga Igunga kunufaika na mradi wa samaki

WAKULIMA wa zao la mpunga Kanda ya Kati, wanatarajia kunufaika na mfumo mpya wa serikali wa kuwaanzishia ujenzi wa Chuo cha Ufugaji Samaki kwa lengo la kuwaongezea kipato. Mkurugenzi Msaidizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani