Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wavuvi wahoji soko la samaki Kalambo kudoda

WAVUVI wa vijiji vya mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo katika Mkoa wa Rukwa, wamesikitishwa kuona soko la kisasa la samaki likishindwa kufanya kazi miaka mitatu sasa tangu ujenzi wake ukamilike, huku ujenzi wake ukielezwa kugharimu zaidi ya Sh milioni 802.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NDEGE YATUA MWANZA KUBEBA SAMAKI, MHANDISI STELLA MAYANYA ATANGAZA SOKO LA SAMAKI WA KANDA YA ZIWA.

 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Mwanza wakiandaa mizigo ambayo ni minofu ya samaki ya kilogram 17,262 iliyosafirishwa na Ndege ya Ethiopia  Airlines iliyoanza safari zake 21 mei 2020 kuja Tanzania katika mkoa wa Mwanza  kuchukua minofu ya samaki. Tarehe 21 mei 2020.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya{kulia} akikagua uandaaji wa mizigo ya minofu ya samaki  ya kilogram 17,262 zenye thamani ya Tsh. 191,874,837.78 iliyopelekwa ndege ya Ethiopia  Airlines...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Wavuvi wanaozamia samaki wa mapambo wanadhulumiwa

Na Albano Midelo WAVUVI wanaofanyakazi ya kuzamia samaki wa mapambo katika ziwa Nyasa eneo la Liuli mkoani Ruvuma wanadhulumiwa na makampuni ambayo yanauza samaki hao kwa faida kubwa. Utafiti unaonyesha kuwa tangu mwaka 1993 kampuni za kigeni zinauza samaki wa mapambo wanaovuliwa kutoka Liuli katika nchi za Ujerumani,Ufaransa na Norway ambapo samaki mmoja huuzwa kati ya dola 450 hadi dola 500 huku wavuvi wanaofanyakazi ya kuzamia katika makampuni hayo wakiendelea kuwa masikini na wengine...

 

11 years ago

Mwananchi

Wavuvi: Mradi wa gesi unatupunguzia samaki baharini

>Katika kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa upatikanaji wa samaki wa kitoweo katika pwani ya Bahari ya Hindi, eneo la Mkoa wa Mtwara, umekuwa mgumu.

 

11 years ago

Habarileo

‘Wavuvi wanaua wanawake kuvutia samaki kwenye mitego’

WAKATI Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu ametuma timu maalumu ya wataalamu wilaya ya Butiama mkoani Mara, kuchunguza matukio ya mauaji yanayowalenga wanawake, taarifa zinasema mauaji hayo hufanywa na wavuvi.

 

10 years ago

Vijimambo

LIVE KUTOKA SOKO LA SAMAKI FERRY

 Akina mama wakiwa soko la samaki ferry katika kujitafutia riziki hapa wakifanya biashara ya vichwa vya samaki. Unaweza kujua ni kihasi gani akina mama wanatakiwa kuwezeshwa kwani ndiyo mwimili wa familia na taifa kwa ujumla.


 

9 years ago

StarTV

Biashara ya Samaki Soko la Feri Mtwara yasuasua

Wafanyabiashara wadogo wadogo wa Samaki katika Soko la Feri mkoani Mtwara wamelalamikia kukosekana kwa samaki kunakotokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Hali hii inasababisha Samaki kupanda bei na kuwaathiri wafanyabiashara hao kutokana na mtaji wa kuendeshea Biashara kuwa mdogo na hivyo baadhi yao kutishia kuachana na biashara hiyo kutokana na kukosekana kwa faida.

Bi. Zuena Franciss ni Mmoja wa wafanyabiashara ndogo ndogo anayenunua Samaki katika soko la feri la Mtwara nabaadaye kukaanga...

 

11 years ago

GPL

UCHAFU WAONGEZEKA SOKO LA SAMAKI KIVUKONI DAR

Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia

SAM_0161

Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.

SAM_0148

Ofisa Uvuvi Mfawidhi Kituo cha kuendeleza ufugaji samaki kanda ya kati, Bwana Renatus Charles Karumbete akitoa maelezo ya namna samaki wanavyozalishwa katika kituo hicho.

Na. Jumbe Ismailly

[IGUNGA] Kituo  cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DK. KAMANI: Ukaguzi wa mazao ya samaki hukuza soko la nje

ILI Tanzania iweze kukubalika katika soko la mazao ya  samaki la ndani na nje ya nchi ni lazima kuwe na ubora wa viwango vinavyohitajika. Viwango vya mazao ya samaki ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani