Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAFU WAONGEZEKA SOKO LA SAMAKI KIVUKONI DAR

Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NDEGE YATUA MWANZA KUBEBA SAMAKI, MHANDISI STELLA MAYANYA ATANGAZA SOKO LA SAMAKI WA KANDA YA ZIWA.

 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Mwanza wakiandaa mizigo ambayo ni minofu ya samaki ya kilogram 17,262 iliyosafirishwa na Ndege ya Ethiopia  Airlines iliyoanza safari zake 21 mei 2020 kuja Tanzania katika mkoa wa Mwanza  kuchukua minofu ya samaki. Tarehe 21 mei 2020.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya{kulia} akikagua uandaaji wa mizigo ya minofu ya samaki  ya kilogram 17,262 zenye thamani ya Tsh. 191,874,837.78 iliyopelekwa ndege ya Ethiopia  Airlines...

 

9 years ago

Michuzi

ENEO LA LEBANON KATIKA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR NI HATARI KWA UCHUMI.

Mwenyekiti wa Kamati ya Soko la Samaki la Kimataifa la Feri, Ali Kibwana, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko mbalimbali ya Manispaa ya Ilala kuona jinsi gani vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia umepungua katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG) kutoa mafunzo ya kupinga ukatili katika masoko hayo. Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said.
Mama Lishe wa soko hilo, Taus Barnabas, akichangia neno katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Eneo la Lebanon katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri Jijini Dar ni Hatari kwa Uchumi, Ikulu

Mwenyekiti wa Kamati ya Soko la Samaki la Kimataifa la Feri, Ali Kibwana, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko mbalimbali ya Manispaa ya Ilala kuona jinsi gani vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia umepungua katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG) kutoa mafunzo ya kupinga ukatili katika masoko hayo. Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said.

Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI

 Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU KIBAO NDANI YA USIKU WA WAREMBO KATIKA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI JIJINI DAR

Siku ya warembo ni usiku unaowakutanisha pamoja warembo wote wa mjini ambao hufanyika kila Alhamis ndani ya Kiota cha maraha cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.Usiki huo hunogeshwa zaidi na magoma ya nguvu yanayoporomoshwa kutoka kwa maDJ wakali wa Samaki Samaki ambao ni Dj Sinyorita the hottest female DJ in town na DJ Vasley.Mmoja wa wadada warembo katika Usiku wa Warembo ndani ya kiota cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.Wadau kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

LIVE KUTOKA SOKO LA SAMAKI FERRY

 Akina mama wakiwa soko la samaki ferry katika kujitafutia riziki hapa wakifanya biashara ya vichwa vya samaki. Unaweza kujua ni kihasi gani akina mama wanatakiwa kuwezeshwa kwani ndiyo mwimili wa familia na taifa kwa ujumla.


 

9 years ago

Vijimambo

UCHAFU WA MAGANDA YA MIWA WAZIBA MTARO WA MAJI MACHAFU SOKO LA MIEMBENI MJINI DODOMA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtaro wa kupitishia maji machafu hasa wakati wa mvua unakaribia kuzibwa na maganda ya miwa yanayomwagwa na wafanyabiashara wa miwa waliopo soko la Miembeni mjini Dodoma.Picha na John Banda Baadhi ya watu wanaonekana wakikusanyia takataka za maganda ya miwa kwenye mtaro unakatisha katika soko la Miembeni mjini Dodoma hali ambayo ni hatari kwa mtaro huo kuziba na kusababisha maji ya mvua zinazokaria kuanza mjini humo kutwama.

Maji machafu ambayo yamekuwa...

 

9 years ago

StarTV

Biashara ya Samaki Soko la Feri Mtwara yasuasua

Wafanyabiashara wadogo wadogo wa Samaki katika Soko la Feri mkoani Mtwara wamelalamikia kukosekana kwa samaki kunakotokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Hali hii inasababisha Samaki kupanda bei na kuwaathiri wafanyabiashara hao kutokana na mtaji wa kuendeshea Biashara kuwa mdogo na hivyo baadhi yao kutishia kuachana na biashara hiyo kutokana na kukosekana kwa faida.

Bi. Zuena Franciss ni Mmoja wa wafanyabiashara ndogo ndogo anayenunua Samaki katika soko la feri la Mtwara nabaadaye kukaanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani