UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI
Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mpH1zYxwXEI/U5mXKtSqChI/AAAAAAAFp-g/pru8GxLKPpg/s72-c/1.jpg)
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO
![](http://2.bp.blogspot.com/-mpH1zYxwXEI/U5mXKtSqChI/AAAAAAAFp-g/pru8GxLKPpg/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s4taCaeMkVk/U5mXdgP1mTI/AAAAAAAFp_g/MU1GiR2wS4A/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mtoJ5-Gov0g/U5mX17L3p7I/AAAAAAAFqBY/lVMccwoJ1bQ/s1600/4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-mcv-k0PlZzQ/U5mX3yY0h9I/AAAAAAAFqBg/IS4rkjpLveA/s1600/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_0SQ2MxWFc8/U5mX4u5OwpI/AAAAAAAFqBc/l3XNMXLVHqQ/s1600/6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-UOfTHryg5E4/U5mX68Z4-0I/AAAAAAAFqBo/QeByFpYyM3I/s1600/7.jpg)
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Vyumba vya kupimia nguo kabla ya kununuliwa katika soko la Mchikichini — Ilala jijini Dar vilitumika kudhalilisha wanawake
Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam jana wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.
9 years ago
MichuziVYUMBA VYA KUPIMIA NGUO KABLA YA KUNUNULIWA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM VILITUMIKA KUDHALILISHA WANAWAKE
10 years ago
Habarileo15 Dec
Soko la Mchikichini kukarabatiwa
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imejitolea kukarabati miundombinu ya maji iliyoharibiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea katika Soko la Mchikichini, lililoungua hivi karibuni na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Moto wateketeza soko Mchikichini
NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Zungu apigania Soko la Mchikichini
MBUNGE wa Ilala, Musa Azzan ‘Zungu’, amesema atapinga kuhamishwa kwa Soko la Mchikichini hadi kiama. Zungu alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati wa kikao cha madiwani cha kupitisha bajeti ya...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Soko la Mchikichini, sakata la bodaboda na Serikali ya JK
SIKU tatu zilizopita kuliripotiwa kuungua kwa soko la Mchikichini. Soko la Mchikichini lipo Manispaa ya Ilala, wafanyabiashara wengi katika soko hilo ni wamachinga. Wamachinga au wauzaji wa bidhaa katika eneo hilo wengi...
11 years ago
GPLSOKO LA MCHIKICHINI DAR LILILOVYOUNGUA MOTO
11 years ago
Habarileo12 Dec
‘Soko la Mchikichini livunjwe kuiokoa Machinga Complex’
BAADA ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kubainisha upungufu uliopo katika Soko la Machinga Complex Ilala jijini Dar es Salaam ikiwemo soko hilo kujiendesha kwa hasara, baadhi ya wabunge wameshauri Serikali iangalie uwezekano wa kuvunja Soko la Mchikichini lililopo jirani.