Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zungu apigania Soko la Mchikichini

MBUNGE wa Ilala, Musa Azzan ‘Zungu’, amesema atapinga kuhamishwa kwa Soko la Mchikichini hadi kiama. Zungu alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati wa kikao cha madiwani cha kupitisha bajeti ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI

 Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...

 

10 years ago

Habarileo

Soko la Mchikichini kukarabatiwa

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imejitolea kukarabati miundombinu ya maji iliyoharibiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea katika Soko la Mchikichini, lililoungua hivi karibuni na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Moto wateketeza soko Mchikichini


NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...

 

11 years ago

GPL

SOKO LA MCHIKICHINI DAR LILILOVYOUNGUA MOTO

Sehemu ya lango kuu ya soko ikiwa imevurugika. Kipande kidogo cha soko kilichobaki. Polisi wakiwa eneo la…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Soko la Mchikichini, sakata la bodaboda na Serikali ya JK

SIKU tatu zilizopita kuliripotiwa kuungua kwa soko la Mchikichini. Soko la Mchikichini lipo Manispaa ya Ilala, wafanyabiashara wengi katika soko hilo ni wamachinga. Wamachinga au wauzaji wa bidhaa katika eneo hilo wengi...

 

11 years ago

CloudsFM

MOTO ULIVYOTEKETEZA SOKO LA KARUME MCHIKICHINI,DAR

Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam ambalo linateketea na moto usiku WA JANA. Taarifa zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo.

 

11 years ago

GPL

VIDEO: SOKO LA MCHIKICHINI DAR LILILOVYOUNGUA MOTO

SOKO la Mchikichini jirani na Uwanja wa Karume jijini Dar limeungua na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wapatao 4, 000, kwa mujibu wa mwenyekiti wa soko, Jumanne Kangogo.Moto huo inasemekana ulianza kuwaka jana saa 4 usiku huku chanzo hakijajulikana, wengine wakisema ni shoti ya umeme na wengine wakidai ni hujuma ambazo zimefanyika kulichoma soko hilo. ...

 

11 years ago

Habarileo

‘Soko la Mchikichini livunjwe kuiokoa Machinga Complex’

BAADA ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kubainisha upungufu uliopo katika Soko la Machinga Complex Ilala jijini Dar es Salaam ikiwemo soko hilo kujiendesha kwa hasara, baadhi ya wabunge wameshauri Serikali iangalie uwezekano wa kuvunja Soko la Mchikichini lililopo jirani.

 

10 years ago

Vijimambo

TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini
Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa Modewji blogMiongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.Kwa muda mrefu mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es Salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani