MOTO ULIVYOTEKETEZA SOKO LA KARUME MCHIKICHINI,DAR
Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam ambalo linateketea na moto usiku WA JANA.
Taarifa zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSOKO LA MCHIKICHINI DAR LILILOVYOUNGUA MOTO
Sehemu ya lango kuu ya soko ikiwa imevurugika. Kipande kidogo cha soko kilichobaki. Polisi wakiwa eneo la…
11 years ago
GPL12 Jun
VIDEO: SOKO LA MCHIKICHINI DAR LILILOVYOUNGUA MOTO
SOKO la Mchikichini jirani na Uwanja wa Karume jijini Dar limeungua na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wapatao 4, 000, kwa mujibu wa mwenyekiti wa soko, Jumanne Kangogo.Moto huo inasemekana ulianza kuwaka jana saa 4 usiku huku chanzo hakijajulikana, wengine wakisema ni shoti ya umeme na wengine wakidai ni hujuma ambazo zimefanyika kulichoma soko hilo. ...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mpH1zYxwXEI/U5mXKtSqChI/AAAAAAAFp-g/pru8GxLKPpg/s72-c/1.jpg)
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO
![](http://2.bp.blogspot.com/-mpH1zYxwXEI/U5mXKtSqChI/AAAAAAAFp-g/pru8GxLKPpg/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s4taCaeMkVk/U5mXdgP1mTI/AAAAAAAFp_g/MU1GiR2wS4A/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mtoJ5-Gov0g/U5mX17L3p7I/AAAAAAAFqBY/lVMccwoJ1bQ/s1600/4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-mcv-k0PlZzQ/U5mX3yY0h9I/AAAAAAAFqBg/IS4rkjpLveA/s1600/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_0SQ2MxWFc8/U5mX4u5OwpI/AAAAAAAFqBc/l3XNMXLVHqQ/s1600/6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-UOfTHryg5E4/U5mX68Z4-0I/AAAAAAAFqBo/QeByFpYyM3I/s1600/7.jpg)
10 years ago
MichuziUONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Moto wateketeza soko Mchikichini
NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MJ3dTmDoG5I/U5kFcIPMTSI/AAAAAAAFp4o/4FGsZCvgQEQ/s72-c/a51753e235853734320d1b593db9c3ed.jpg)
Breaking Newssss: moto wateketeza soko la mitumba la karume jijini Dar usiku huu
![](http://2.bp.blogspot.com/-MJ3dTmDoG5I/U5kFcIPMTSI/AAAAAAAFp4o/4FGsZCvgQEQ/s1600/a51753e235853734320d1b593db9c3ed.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO5eyXBizvm2xy*9LvRQNOIUqmhW85H7i4jMwX6HCwtOm3-etgklkFqXoufexaHuJUQsUOfDGrVfG1hBsemyUVoW/Pichana1.jpg?width=650)
MFUKO WA KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA WALIOATHIRIWA NA MOTO SOKO LA MCHIKICHINI WAANZISHWA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni mkuu wa wilaya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu kuanzishwa kwa mfuko wa kuwasaidia wafanyabiashara wa soko la Mchikichini walioathiriwa na janga la moto kwa lengo la kurejesha hali ya maisha waliyokuwa nayo hapo awali.…
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PUG71oqygmI/U6Q4D1cDRSI/AAAAAAAFr8A/XduyKBNfJ6E/s72-c/Picha+na+1.jpg)
MFUKO WA KUWASIDIA WAFANYABIASHARA WALIOATHIRIWA NA MOTO SOKO LA MCHIKICHINI WAANZISHWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-PUG71oqygmI/U6Q4D1cDRSI/AAAAAAAFr8A/XduyKBNfJ6E/s1600/Picha+na+1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-hr5LtVVK4xc/U6Q4Ea_TgzI/AAAAAAAFr8E/JUMLsqn3lDw/s1600/Picha+na+3.jpg)
10 years ago
GPL30 Nov
MOTO ULIVYOTEKETEZA VYUMBA VITATU JIJINI DAR
FAMILIA moja iliyopo maeneo ya Uwanja wa Tip Sinza, jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2014 imejikuta ikipata wakati mgumu baada ya vyumba vitatu walivyokuwa wanaishi kuteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa. Chanzo cha moto huo ilikuwa ni shoti ya umeme. Ungana na Global TV kujua kilichotokea eneo hilo la tukio.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania