MOTO ULIVYOTEKETEZA VYUMBA VITATU JIJINI DAR
FAMILIA moja iliyopo maeneo ya Uwanja wa Tip Sinza, jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2014 imejikuta ikipata wakati mgumu baada ya vyumba vitatu walivyokuwa wanaishi kuteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa. Chanzo cha moto huo ilikuwa ni shoti ya umeme. Ungana na Global TV kujua kilichotokea eneo hilo la tukio.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVYUMBA VITATU VYATEKETEA KWA MOTO DAR
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MPoum4J5GZY/default.jpg)
11 years ago
GPLMOTO ULIVYOTEKETEZA TIMERS LOUNGE & BAR JIJINI NAIROBI
11 years ago
CloudsFM12 Jun
MOTO ULIVYOTEKETEZA SOKO LA KARUME MCHIKICHINI,DAR
Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam ambalo linateketea na moto usiku WA JANA.
Taarifa zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dZ3OhqigiwM/XlYAqf_k8MI/AAAAAAAEFyQ/_RP2bC5YMuADqtoY2fffWUUAfDNZJhHzACLcBGAsYHQ/s72-c/5f862bf5-7543-4aa3-857b-df13ff516d68.jpg)
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 154 ZATUMIKA KUJENGA VYUMBA VITATU VYA MADARASA,UKARABATI WA SHULE WILAYANI TANDAHIMBA
Akizindua madarasa hayo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Sebastian Waryuba amesema madarasa hayo yamewekwa na madawati tayari kwa wanafunzi kuendelea na masomo
"Tumezindua madarasa haya lakini pia wametukabidhi shule ikiwa katika muonekano unaovutia ambapo kazi hii imefanywa na taasisi ya Eclat na Upendo ,"amesema Waryuba
Naye Mwenyekiti wa taasisi ya Eclat...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SlJUvVZPH64/UvfY4fka4UI/AAAAAAACaV0/YKWohUoBxj8/s72-c/4.jpg)
KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAKABIDHI MISAADA KWA VITUO VITATU VYA JIJINI DAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-SlJUvVZPH64/UvfY4fka4UI/AAAAAAACaV0/YKWohUoBxj8/s1600/4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2xTE4UMtVtY/UvfY9dWB8tI/AAAAAAACaWE/TKFbsqLu4Ak/s1600/5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fEz3c4Wug80/UvfY8kd6FvI/AAAAAAACaV8/8oEN-OoGMkc/s1600/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KdKQc-IbDOI/UvfZEILs97I/AAAAAAACaWM/V1aj2SC-eIo/s1600/1.jpg)
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Vyumba vya kupimia nguo kabla ya kununuliwa katika soko la Mchikichini — Ilala jijini Dar vilitumika kudhalilisha wanawake
Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam jana wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.
9 years ago
MichuziVYUMBA VYA KUPIMIA NGUO KABLA YA KUNUNULIWA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM VILITUMIKA KUDHALILISHA WANAWAKE