ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 154 ZATUMIKA KUJENGA VYUMBA VITATU VYA MADARASA,UKARABATI WA SHULE WILAYANI TANDAHIMBA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dZ3OhqigiwM/XlYAqf_k8MI/AAAAAAAEFyQ/_RP2bC5YMuADqtoY2fffWUUAfDNZJhHzACLcBGAsYHQ/s72-c/5f862bf5-7543-4aa3-857b-df13ff516d68.jpg)
Zaidi ya shilingi Milioni 154 zimetumika kujenga vyumba vitatu vya madarasa na kukarabati shule ya Msingi Luagala 'B' Wilayani Tandahimba
Akizindua madarasa hayo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Sebastian Waryuba amesema madarasa hayo yamewekwa na madawati tayari kwa wanafunzi kuendelea na masomo
"Tumezindua madarasa haya lakini pia wametukabidhi shule ikiwa katika muonekano unaovutia ambapo kazi hii imefanywa na taasisi ya Eclat na Upendo ,"amesema Waryuba
Naye Mwenyekiti wa taasisi ya Eclat...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Kanisa kutumia zaidi ya shilingi 214 milioni kujenga shule
Waziri wa Mali asili na Utaliii na Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini,Lazaro Nyalandu.
Na Nathaniel Limu, Singida
KANISA jipya la Miracle Assemblies of God Ministry (MAGM) mkoani Singida linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 214.1 milioni kugharamia ujenzi wa shule ya awali ya bweni.
Hayo yalisemwa hivi karibuni na Magreth Ndwete wakati akisoma risala fupi ya kanisa hilo kwenye hafla ya kusimikwa kwa askofu wa kwanza wa kanisa hilo John Sanongo Tesha (58), Mgeni rasmi katika hafla...
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Ridhiwani azindua vyumba vya madarasa shule ya Magereza ya Bwawani
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo.
Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua.
Ridhiwani akikagua gwaride la...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Milioni 59/- zatumika kujenga nyumba , vyoo Shule ya Munguli
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu
HALMASHAURI ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida,imetumia zaidi ya shilingi 59 milioni kugharamia ujenzi wa nyumba ya mtumishi,vyoo na ununuzi wa vitanda na magodoro ya shule ya msingi ya bweni, kijiji cha Munguli ambayo ni maalum kwa jamii ya Wahadzabe tu.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo,Bravo Lyapambile,wakati...
10 years ago
Vijimambo08 Oct
FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B
![](https://3.bp.blogspot.com/-8ODlrrxpUIo/VDRJ42tYilI/AAAAAAAAOt4/NIP3B_E-UbQ/s1600/IMG_8488fnb.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-ScVFR97yrXU/VDRKJLbdYFI/AAAAAAAAOuA/s9-IdQPPTQU/s1600/IMG_8950fnb.jpg)
5 years ago
MichuziNMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 KWA SHULE TATU ZA SEKONDARI JIJINI DAR
Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibamba, ambako Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd alimkabidhi msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori (aliyekuwa mgeni rasmi).
Alisema Kibamba Sekondari yenye...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
FNB yakabidhi madarasa baada ya ukarabati shule ya msingi Msasani B
Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam.
Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni...
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI VYUMBA VYA MADARASA GEITA
Sambamba na kusaidia ujenzi na ukarabati wa madarasa Benki ya crdb ilichangia maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika mjini Geita kwa sababu benki hiyo inawajali wateja wake. Maadhimisho ya wiki Huduma kwa...
10 years ago
Michuzi21 Mar
BENKI YA CBA YATOA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 3 KWA SHULE YA SINGISI ARUSHA
![IMG_8466](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/qBbHn3ex1QH4wUhuFuh6XuEWW6G8KKw9y823fiV9-Xr-UwItodKhA7ODKuTZzVfjvsmX3rrI0gYQdqq2bsXSIO1VfAEz7leCiMI84tllMJPFs1MBzH64QsA=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/03/img_8466.jpg?w=660)
Meneja Masoko wa bank ya CBA Bw. Sollomon Kawiche akisoma hutuba wakati walipokuja kutoa msaada chek ya fedha Shiling Million Tatu na laki Nane katika Shule ya msingi na Ufundi Singisi kwa ajiliya kununua vifaa vya umeme vya kujifunzia kwa wanafunzi wa ufundi shulen hapo.Aliyeko kulia ni mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Singisi Janeth Ayo na watatu kulia ni meneja wa Kanda CBA Juliana Mwansuva(Picha na Jamiiblog)
![IMG_8493](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/RzU6zQqPdnN_-Kh2UH2uFeVWmb0zfbrn7_-r1nsCKnR42Fm3Lngs4m13jdIAP9QrV98tQce-ODyS0wGrZ3_f_vEz6HNFzm45nZddZOIC_GX9B4JSayqyF6s=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/03/img_8493.jpg?w=660)
Meneja wa Kanda wa Bank ya CBA Juliana Mwamsuva akimkabidhi Mwalimu mkuu...
10 years ago
Michuzimadarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani wilayani Simanjiro yakabidhiwa