madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani wilayani Simanjiro yakabidhiwa
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka pamoja na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Daniel Ole Materi wakikata utepe kuashiria kuzindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo Kata ya Terrat ambayo Kamanda Ole Materi, aliyajenga na kutoa msaada kwa shule hiyo.
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Christopher Ole Sendeka na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,...
Michuzi