Biashara ya Samaki Soko la Feri Mtwara yasuasua
Wafanyabiashara wadogo wadogo wa Samaki katika Soko la Feri mkoani Mtwara wamelalamikia kukosekana kwa samaki kunakotokana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Hali hii inasababisha Samaki kupanda bei na kuwaathiri wafanyabiashara hao kutokana na mtaji wa kuendeshea Biashara kuwa mdogo na hivyo baadhi yao kutishia kuachana na biashara hiyo kutokana na kukosekana kwa faida.
Bi. Zuena Franciss ni Mmoja wa wafanyabiashara ndogo ndogo anayenunua Samaki katika soko la feri la Mtwara nabaadaye kukaanga...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YR6FiGa6AzU/XsfLU6KlooI/AAAAAAALrQ4/UByodZr0zrMxHYtaNVOJsUie8jNZHeRngCLcBGAsYHQ/s72-c/3.jpg)
NDEGE YATUA MWANZA KUBEBA SAMAKI, MHANDISI STELLA MAYANYA ATANGAZA SOKO LA SAMAKI WA KANDA YA ZIWA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-YR6FiGa6AzU/XsfLU6KlooI/AAAAAAALrQ4/UByodZr0zrMxHYtaNVOJsUie8jNZHeRngCLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-c9DJ_EiQfoA/XsfLVuh0ptI/AAAAAAALrRA/Trpv4svClRsx2-T5cvU1GdQlH1F_ll4JQCLcBGAsYHQ/s640/4...jpg)
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya{kulia} akikagua uandaaji wa mizigo ya minofu ya samaki ya kilogram 17,262 zenye thamani ya Tsh. 191,874,837.78 iliyopelekwa ndege ya Ethiopia Airlines...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-fzuMI_pebLk/VD9kg3088yI/AAAAAAADJ1Y/fMaCGb_5JcY/s72-c/IMG-20141016-WA002.jpg)
LIVE KUTOKA SOKO LA SAMAKI FERRY
![](http://2.bp.blogspot.com/-fzuMI_pebLk/VD9kg3088yI/AAAAAAADJ1Y/fMaCGb_5JcY/s1600/IMG-20141016-WA002.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SEvsV7hPUoY/VD9kg-cAgNI/AAAAAAADJ1c/bo-twn8mMxM/s1600/IMG-20141016-WA003.jpg)
11 years ago
GPL10 years ago
Habarileo09 Aug
Wavuvi wahoji soko la samaki Kalambo kudoda
WAVUVI wa vijiji vya mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo katika Mkoa wa Rukwa, wamesikitishwa kuona soko la kisasa la samaki likishindwa kufanya kazi miaka mitatu sasa tangu ujenzi wake ukamilike, huku ujenzi wake ukielezwa kugharimu zaidi ya Sh milioni 802.
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
DK. KAMANI: Ukaguzi wa mazao ya samaki hukuza soko la nje
ILI Tanzania iweze kukubalika katika soko la mazao ya samaki la ndani na nje ya nchi ni lazima kuwe na ubora wa viwango vinavyohitajika. Viwango vya mazao ya samaki ni...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mBKET8JFpUo/VoFc6wQGiQI/AAAAAAAIPDU/2tWp4i9QSLM/s72-c/20151228075903.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afungua soko la kimataifa la Samaki Mkoani Kigoma leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-mBKET8JFpUo/VoFc6wQGiQI/AAAAAAAIPDU/2tWp4i9QSLM/s640/20151228075903.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-d0U0pLGD06c/VoFc64sznxI/AAAAAAAIPDQ/jQQpmNVPIuc/s640/20151228075911.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wcWkhBE01u0/VoFc7Rg325I/AAAAAAAIPDc/DyoVduwVtHg/s640/20151228075934.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V03Klr4z7ro/VoFc7vyMxuI/AAAAAAAIPDg/10Lt5XHSFYI/s640/20151228075943.jpg)
9 years ago
MichuziENEO LA LEBANON KATIKA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR NI HATARI KWA UCHUMI.
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
Eneo la Lebanon katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri Jijini Dar ni Hatari kwa Uchumi, Ikulu
Mwenyekiti wa Kamati ya Soko la Samaki la Kimataifa la Feri, Ali Kibwana, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko mbalimbali ya Manispaa ya Ilala kuona jinsi gani vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia umepungua katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG) kutoa mafunzo ya kupinga ukatili katika masoko hayo. Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said.
Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said akizungumza...
9 years ago
StarTV07 Nov
Wafanyabiashara Soko Kuu Mtwara walalamikia upatikanaji wa bidhaa
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkoa wa Mtwara wamelalamikia upatikanaji wa bidhaa hususani za nafaka kutokana na zoezi la Uchaguzi lililomalizika hali ambayo imesababisha gharama za bidhaa hizo kupanda maradufu na kuathiri wateja wa Mkoa huo.
Licha ya kumalizika kwa uchaguzi lakini bado uingizwaji wa bidhaa umekuwa hafifu kutokana na baadhi ya wafanyabishaara wanaomiliki magari ya mizigo kugoma kufuata mizigo mashambani.
Bidhaa nyingi zinazoingia katika Soko Kuu la mkoa wa Mtwara kwa kiasi...