Wafanyabiashara Soko Kuu Mtwara walalamikia upatikanaji wa bidhaa
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkoa wa Mtwara wamelalamikia upatikanaji wa bidhaa hususani za nafaka kutokana na zoezi la Uchaguzi lililomalizika hali ambayo imesababisha gharama za bidhaa hizo kupanda maradufu na kuathiri wateja wa Mkoa huo.
Licha ya kumalizika kwa uchaguzi lakini bado uingizwaji wa bidhaa umekuwa hafifu kutokana na baadhi ya wafanyabishaara wanaomiliki magari ya mizigo kugoma kufuata mizigo mashambani.
Bidhaa nyingi zinazoingia katika Soko Kuu la mkoa wa Mtwara kwa kiasi...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wafanyabiashara walalamikia uchakavu wa soko
WAFANYABIASHARA wa soko kuu la wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wamelalamikia uchakavu wa majengo ya soko hilo, na kuiomba halmashauri hiyo kufanya ukarabati.
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
MFUMUKO WA BEI: Bidhaa mbalimbali zatikisa soko kuu jijini Mwanza!
9 years ago
MichuziMFUMUKO WA BEI ZA BIDHAA MBALIMBALI WATIKISA SOKO KUU JIJINI MWANZA.
Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 kwa kila moja tofauti na hapo awali ambapo bidhaa iliyokuwa ikiuzwa shilingi 15,000 sasa...
9 years ago
StarTV21 Dec
Maandalizi ya Krismas,Mwaka mpya Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza
Zikiwa zimebaki siku tano kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.
Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.
Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.
Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...
9 years ago
StarTV16 Dec
Maandalizi Ya Krismas, Mwaka Mpya ya sababisha  Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza
Zikiwa zimebaki siku kumi kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.
Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.
Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.
Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...
10 years ago
MichuziUONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...
10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO
11 years ago
Mwananchi08 May
Walalamikia usafi wa soko Kariakoo
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Wakulima wa Idodi walalamikia bei ya soko