Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walalamikia usafi wa soko Kariakoo

Baadhi ya wafanyabiashara Soko la Kariakoo wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameomba halmashauri kuwatatulia kero zao ikiwamo suala la usafi ili kuepusha magonjwa ya mlipuko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MAJLIWA AFANYA USAFI SOKO KUU LA KARIAKOO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI

 Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...

 

9 years ago

StarTV

Wafanya usafi walalamikia madereva wanaokiuka sheria

 

Baadhi ya wanawake wanaofanya usafi katika jiji la Mwanza wamewalalamikia madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa na wengine kuendesha kwa mwendo kasi licha ya kuwekewa alama za usalama barabarani.

Katikati ya jiji la Mwanza jua ni kali, usafi wa barabara unaendelea ambao ni miongoni mwa vigezo vya maendeleo kwa sababu mazingira safi ambayo yanapunguza magonjwa lakini hali hiyo inadaiwa kuhatarisha usalama wa wanawake hao wakati wa kufagia...

 

9 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara walalamikia uchakavu wa soko

WAFANYABIASHARA wa soko kuu la wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wamelalamikia uchakavu wa majengo ya soko hilo, na kuiomba halmashauri hiyo kufanya ukarabati.

 

10 years ago

Mwananchi

Walima nyanya walalamikia ukosefu wa soko

>Wakulima wa nyanya mkoani Iringa wamelalamikia kukosekana kwa soko la uhakika, hali inayowafanya waendelee kupata hasara kila mwaka.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa Idodi walalamikia bei ya soko

Vikundi vya vikoba vya wakulima wa Kijiji cha Tungamalenga na Mapogolo Tarafa ya Idodi,Iringa Vijijini, vinakabiliwa na changamoto ya soko kutokana na mazao yao kununuliwa kwa bei ya chini.

 

11 years ago

Habarileo

Soko la Kariakoo lazindua tovuti

SOKO la Kariakoo limezindua tovuti yake maalumu kwa ajili ya kutoa taarifa mbalimbali za soko hilo, ikiwa ni pamoja na bei za mazao za kila siku kwa wadau wake. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Meneja wa Soko hilo, Anderson Shaka alisema tovuti hiyo ni http:www.kariakoo.or.tz/sw/ .

 

9 years ago

Mwananchi

Majaliwa ageukia Soko la Kariakoo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na viongozi wa soko la Kariakoo kukutana naye ofisini kwake Jumatatu ijayo kujadili namna ya kuliendesha soko hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani