Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wa Idodi walalamikia bei ya soko

Vikundi vya vikoba vya wakulima wa Kijiji cha Tungamalenga na Mapogolo Tarafa ya Idodi,Iringa Vijijini, vinakabiliwa na changamoto ya soko kutokana na mazao yao kununuliwa kwa bei ya chini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI

 Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...

 

9 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara walalamikia uchakavu wa soko

WAFANYABIASHARA wa soko kuu la wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wamelalamikia uchakavu wa majengo ya soko hilo, na kuiomba halmashauri hiyo kufanya ukarabati.

 

11 years ago

Mwananchi

Walalamikia usafi wa soko Kariakoo

Baadhi ya wafanyabiashara Soko la Kariakoo wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameomba halmashauri kuwatatulia kero zao ikiwamo suala la usafi ili kuepusha magonjwa ya mlipuko.

 

10 years ago

Mwananchi

Walima nyanya walalamikia ukosefu wa soko

>Wakulima wa nyanya mkoani Iringa wamelalamikia kukosekana kwa soko la uhakika, hali inayowafanya waendelee kupata hasara kila mwaka.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima walalamikia Lumbesa, Makokoro

Wakulima wa vijiji vya Ibingu na Kisongwe, Kata ya Lumbiji wilayani hapa wamelalamikia kukithiri kwa vitendo vya wafanyabiashara kununua mazao kwa kutumia vipimo visivyokubalika kisheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walalamikia ubora wa dawa

BAADHI ya wakulima kutoka mkoani Mbeya  wamelalamikia dawa za kilimo aina ya Karate 50 ec na Selecron 720 ec kuwa hazina ubora. Wakulima hao waliowakilishwa na John Mwaipopo, walisema dawa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima walalamikia kampuni kukiuka utaratibu

Wakulima wa pamba wilayani hapa wamezilalamikia kampuni tisa za ununuzi wa zao hilo kwa kukiuka sheria na utaratibu wa kilimo cha mkataba kwa kuwauzia mbegu kinyume chamakubaliano.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara Soko Kuu Mtwara walalamikia upatikanaji wa bidhaa

Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkoa wa Mtwara wamelalamikia upatikanaji wa bidhaa hususani za nafaka kutokana na zoezi la Uchaguzi lililomalizika hali ambayo imesababisha gharama za bidhaa hizo kupanda maradufu na kuathiri wateja wa Mkoa huo.

Licha ya kumalizika kwa uchaguzi lakini bado uingizwaji wa bidhaa umekuwa hafifu kutokana na baadhi ya wafanyabishaara wanaomiliki magari ya mizigo kugoma kufuata mizigo mashambani.

 Bidhaa nyingi zinazoingia katika Soko Kuu la mkoa wa Mtwara kwa kiasi...

 

9 years ago

StarTV

Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani