Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima walalamikia Lumbesa, Makokoro

Wakulima wa vijiji vya Ibingu na Kisongwe, Kata ya Lumbiji wilayani hapa wamelalamikia kukithiri kwa vitendo vya wafanyabiashara kununua mazao kwa kutumia vipimo visivyokubalika kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walalamikia ubora wa dawa

BAADHI ya wakulima kutoka mkoani Mbeya  wamelalamikia dawa za kilimo aina ya Karate 50 ec na Selecron 720 ec kuwa hazina ubora. Wakulima hao waliowakilishwa na John Mwaipopo, walisema dawa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima walalamikia kampuni kukiuka utaratibu

Wakulima wa pamba wilayani hapa wamezilalamikia kampuni tisa za ununuzi wa zao hilo kwa kukiuka sheria na utaratibu wa kilimo cha mkataba kwa kuwauzia mbegu kinyume chamakubaliano.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa Idodi walalamikia bei ya soko

Vikundi vya vikoba vya wakulima wa Kijiji cha Tungamalenga na Mapogolo Tarafa ya Idodi,Iringa Vijijini, vinakabiliwa na changamoto ya soko kutokana na mazao yao kununuliwa kwa bei ya chini.

 

9 years ago

StarTV

Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzindakaya acharukia operesheni makokoro

MKUU wa Wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya, amewaamuru kuondoka mara moja wilayani humo maofisa wa serikali wakiwemo askari polisi waliokuwa wakiendesha kinyemela operesheni ya kusaka makokoro kisha kupiga na kukata...

 

11 years ago

Michuzi

madaktari walalamikia kutokamilika kwa miradi ya ujenzi vituo vya afya kwa wakati,wakulima wa tumbaku waangusha kilio chao mbele ya Kinana wilayani sikonge

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la upasuaji na Dk.Sylvanus Kabutura Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya cha Kata ya Kitunda wilayani Sikonge,Daktari Kabutura  alimueleza Katibu Mkuu wa CCM changamoto kubwa uhaba wa maji katika kituo hicho,na pia kutokamilika kwa jengo kubwa la huduma za upasuaji na huduma nyingine zaidi ya mwaka,jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana hakufurahishwa nalo,kwani kumekuwepo na malalamiko makubwa kutoka kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

RC Njombe aonya viongozi kuhusu lumbesa

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Rehema Nchimbi amewataka viongozi mkoani hapa na Iringa kuacha tabia ya kudai nyongeza wanaponunua mazao ya wakulima kwa sababu hiyo ni lumbesa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lumbesa: Mbinu za kibiashara zinazotishia kuangamiza kilimo

Kwa miaka mingi, mikoa ya Njombe na Iringa ambayo awali ulikuwa mkoa mmoja ina sifa moja inayofanana na inayoweza kuitambulisha kirahisi.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani