BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMikopo ya kwanza ya TADB kwa wakulima kutolewa siku ya Jumatano
Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo.
Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema...
5 years ago
Michuzi
Benki ya NMB yatoa mkopo wa Shilingi bilioni 3 kwa wakulima wa muhogo Handeni

5 years ago
Michuzi
TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.


Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Mafunzo, mikopo ya NMB kuwanufaisha wakulima
KILIMO ni muhimu katika kuchangia ukuaji wa uchumi nchini. Mchango wa sekta hii katika kuongeza kasi ya ukuaji wa pato la taifa ni mkubwa kuanzia kwenye mazao. Lakini kwa kipindi...
9 years ago
MichuziWakulima waaswa kwenye matumizi ya mikopo
10 years ago
Habarileo31 May
Wassira ataka wakulima kuchangamkia benki yao
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika , Stephen Wassira, amewataka wakulima na wadau wa sekta ya kilimo cha mazao ya aina mbalimbali ikiwemo kahawa kuanza kujipanga kutumia Benki ya Kilimo kwa kuingia mikataba ili waweze kupata mikopo kwa ajili ya kupata pembejeo na vifaa vya kilimo.
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Rais Kikwete azindua benki ya kwanza ya Wakulima Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya Maendeleo ya Kilimo.
Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Thomas Samkyi akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya wakulima Tanzania (TADB), uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu JK Nyerere.
Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya...
11 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .
Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...