Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Waziri wa kilimo atua mkoani Iringa, akutana na wakulima wa Tumbaku

  mwi5Waziri wa Kilimo Mifugo na Ushirika Mh. Mwigulu Nchemba  akipokelewa katika  ofisi ya Mkuu wa Iringa na kupokelewa na  Mkuu wa Mkoa Mh. Amina Masenza na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesela.mwi3Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku halitakufa kwani linaleta pato kwa taifa. Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku...

 

11 years ago

Michuzi

madaktari walalamikia kutokamilika kwa miradi ya ujenzi vituo vya afya kwa wakati,wakulima wa tumbaku waangusha kilio chao mbele ya Kinana wilayani sikonge

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la upasuaji na Dk.Sylvanus Kabutura Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya cha Kata ya Kitunda wilayani Sikonge,Daktari Kabutura  alimueleza Katibu Mkuu wa CCM changamoto kubwa uhaba wa maji katika kituo hicho,na pia kutokamilika kwa jengo kubwa la huduma za upasuaji na huduma nyingine zaidi ya mwaka,jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana hakufurahishwa nalo,kwani kumekuwepo na malalamiko makubwa kutoka kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali idhibiti kilimo cha tumbaku-TTCF

Serikali imetakiwa kutunga sheria zitakazodhibiti kilimo na matumizi ya tumbaku nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani walalamikia makato benki

>Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga wamelalamikia makato ya madeni yao kwenye Benki ya CRDB Tawi la Kahama kwa madai wanakatwa bila kufuata utaratibu wa mkataba.

 

10 years ago

Mwananchi

TRL walalamikia makato ya bima

Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), wameulalamikia uongozi wao kwa kuwakata fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini makato hayo kutopelekwa kwa wakati na kusababisha wakataliwe kutibiwa hospitalini.

 

9 years ago

StarTV

Wakulima Nzega walalamikia pembejeo za kilimo cha pamba

Baadhi ya wakulima wa Pamba wilayani Nzega mkoani Tabora wameingiwa hofu ya kukiuka kalenda ya uzalishaji wa zao hilo kutokana na kucheleweshewa pembejeo za kilimo hicho zikiwemo mbegu.

Kwa mujibu wa kalenda ya Pamba kanda ya magharibi, ifikapo Novemba 15 hadi Desemba 15, zao hilo linapaswa kuwa limepandwa ili kuepuka mazalia ya wadudu waharibifu pamoja na kuimarisha ustawi wa zao hilo.

Mvua  za masika zimekwisha  anza kunyesha, wakulima  wengine wanaendelea  na shuguli za kilimo, hofu  ni...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA ATAKA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA KUIMARISHWA USIMAMIZI NA UENDESHAJI

Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amewataka waratibu na wadau wa Programu wa mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya Kitalu Nyumba “Greenhouse” ikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Kilimo, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na wakandarasi ambao walijenga vitalu nyumba kuimarisha usimamizi na uendeshaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara Mwika walalamikia ushuru magari

Wafanyabiashara wa mazao ya ndizi na maparachichi katika Soko la Mwika lililopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamelalamikia ongezeko la ushuru wa magari makubwa katika soko hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani