Wakulima Nzega walalamikia pembejeo za kilimo cha pamba
Baadhi ya wakulima wa Pamba wilayani Nzega mkoani Tabora wameingiwa hofu ya kukiuka kalenda ya uzalishaji wa zao hilo kutokana na kucheleweshewa pembejeo za kilimo hicho zikiwemo mbegu.
Kwa mujibu wa kalenda ya Pamba kanda ya magharibi, ifikapo Novemba 15 hadi Desemba 15, zao hilo linapaswa kuwa limepandwa ili kuepuka mazalia ya wadudu waharibifu pamoja na kuimarisha ustawi wa zao hilo.
Mvua za masika zimekwisha anza kunyesha, wakulima wengine wanaendelea na shuguli za kilimo, hofu ni...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Nyangokolwa waachana na kilimo cha pamba
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba
11 years ago
Habarileo07 Mar
Ashauri kuanzishwa mfuko wa kilimo cha pamba
SERIKALI imeshauriwa kuweka mfuko maalumu kwa ajili ya kuendeleza Kilimo cha Pamba hapa nchini badala ya kupoteza fedha zake nyingi katika kuendesha vikao vinavyohusu zao hilo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja wa Kiwanda cha Kahama oil Mill, William Matonange wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilimo cha mkataba ambacho wao kama wanunuzi wa zao hilo hawakubaliani nacho.
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Tatizo la kudorora kilimo cha pamba ni soko au tija?
9 years ago
StarTV19 Dec
Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru
Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.
Wakulima hao wamesema bado kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.
Zao la tumbaku...
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Madiwani Nzega wataka bei ya pamba iboroshwe
MADIWANI wa halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora wameiomba serikali kuangalia upya bei ya zao la pamba. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao cha baraza la...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gfzuAqMyrXM/VUxLep4xMrI/AAAAAAABNqk/6h38CBibuYE/s72-c/0.1UAP5.jpg)
KIWANDA CHA PAMBA AMBACHO PAMBA YAKE ILITEKETEA KWA MOTO MKOANI SHINYANGA CHAPATA BIMA YAKE TOKA UAP
![](http://1.bp.blogspot.com/-gfzuAqMyrXM/VUxLep4xMrI/AAAAAAABNqk/6h38CBibuYE/s640/0.1UAP5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/--6W2I83BmfI/VUxLgrxAv4I/AAAAAAABNqs/d1k3pQncsqY/s640/0.1UAP3.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-A9JNWBLu2bc/XtjetbaDUTI/AAAAAAALsms/oPT1AWznw0csjjgGVQ_aXzjQ6BtxpeknwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200604-WA0078.jpg)
WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA
Na Pamela Mollel, Arusha.
KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5 ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira
Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...
11 years ago
Michuzi19 Mar
WARSHA YA UBORESHAJI WA KILIMO CHA APPLES MAKETE KWA MAAFISA KILIMO YAFUNGULIWA