Madiwani Nzega wataka bei ya pamba iboroshwe
MADIWANI wa halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora wameiomba serikali kuangalia upya bei ya zao la pamba. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao cha baraza la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV16 Nov
Wakulima Nzega walalamikia pembejeo za kilimo cha pamba
Baadhi ya wakulima wa Pamba wilayani Nzega mkoani Tabora wameingiwa hofu ya kukiuka kalenda ya uzalishaji wa zao hilo kutokana na kucheleweshewa pembejeo za kilimo hicho zikiwemo mbegu.
Kwa mujibu wa kalenda ya Pamba kanda ya magharibi, ifikapo Novemba 15 hadi Desemba 15, zao hilo linapaswa kuwa limepandwa ili kuepuka mazalia ya wadudu waharibifu pamoja na kuimarisha ustawi wa zao hilo.
Mvua za masika zimekwisha anza kunyesha, wakulima wengine wanaendelea na shuguli za kilimo, hofu ni...
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Mbegu za pamba zawaliza madiwani
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Madiwani Nzega walia na wanasiasa
MADIWANI wa Halamashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, wametaka wanasiasa kutoingiza siasa kwenye miradi ya maendeleo. Baadhi ya madiwani waliyozungumza na Tanzania Daima mara baada ya kuwasilisha taarifa za...
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wanunuzi wa pamba watakiwa kufuata bei elekezi
BODI ya Pamba Tanzania (TCB), imesema mnunuzi atakayenunua pamba kwa bei chini ya bei elekezi, atakuwa anavunja sheria na taratibu zinazosimamia zao hilo. Mkurugenzi Mkuu wa TCB, Gabriel Mwalo, amesema...
10 years ago
Vijimambo3CHICKZ WANAKULETEA AFRICAN PRINTS "PAMBA ZA KIJANJA" KWA BEI POA...PIA NYWELE NA VIPODOZI VINAPATIKANA!
Kwa mawasiliano waweza kutupata katika namba +1(347)-663-0781 na pia unaweza kutu follow kwenye Instagram (3chicks_bahia) ili upate kuona mambo mazuri zaidi.SASA
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Madiwani wataka mkurugenzi asimamishwe
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Oz6AYMFvgHg/Xt5ZAhzOZSI/AAAAAAALtGM/hXzgt24Ykn4Q3D_MGnWyeXE7jHsGRcicQCLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-06-08-05h36m15s766.png)
Madiwani wataka maridhiano kesi dhidi ya halmashauri yao zimalizwe
Akiwasilisha taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali kwa Mwaka 2018/2019 mweka Hazina wa Halmashauri ya mji Njombe Bi. Dorcas Mkello amesema kuwa Halmashauri ilipata Hati inayoridhisha (Hati Safi) yenye masuala mawili ya msisitizo ambapo moja ni miradi ya maji kuhamia Ruwasa na pili ikiwa ni kesi za madai yenye kiasi cha Tshs. 215,384,844 ambapo kama uamuzi utatoka juu ya walalamikaji Halmashauri itatakiwa kulipa fedha hizo.
Wakitoa mapendekezo yao wakati...