Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wataka maridhiano kesi dhidi ya halmashauri yao zimalizwe

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Akiwasilisha taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali kwa Mwaka 2018/2019 mweka Hazina wa Halmashauri ya mji Njombe Bi. Dorcas Mkello amesema kuwa Halmashauri ilipata Hati inayoridhisha (Hati Safi) yenye masuala mawili ya msisitizo ambapo moja ni miradi ya maji kuhamia Ruwasa na pili ikiwa ni kesi za madai yenye kiasi cha Tshs. 215,384,844 ambapo kama uamuzi utatoka juu ya walalamikaji Halmashauri itatakiwa kulipa fedha hizo.

Wakitoa mapendekezo yao wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Msikiti wataka maelezo kesi yao kuchelewa

WADHAMINI wa Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam wamemuandikia barua Jaji Mkuu wa Tanzania, Othmani Chande, wakitaka maelezo ya kina kuhusu kuchelewa kushughulikiwa kwa rufaa ya kesi yao nambari 3/2004 iliyopo Mahakama ya Rufaa kwa mwaka wa 10 sasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba

KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....

 

11 years ago

Tanzania Daima

ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba

CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mivutano yaendelea kulitafuna #Bunge la #Katiba, wajumbe wataka maridhiano [VIDEO]

Mivutano imeendelea kuligawa Bunge Maalum la Katiba leo, huku baadhi ya wajumbe wakilalamika kuwa mapendekezo waliyoyatoa kuboresha Kanuni zitakazoliendesha baraza hilo hayakuzingatiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu ‪

Raia 12 wa Iran na Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin kilo 200.5, zenye thamani ya sh. bilioni 9.02, wamelalamikia kucheleweshwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Washtakiwa hao ni Kapteni Ayoub Mohamed, Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Khalid Ally, Abdul Somad, Saeed Sahury, Bashir Afraz, Morad Gwaram na Hazir Azad, wote raia wa Iran ambao walikamatwa kwenye Bahari ya Tanzania.
Wengine ni Buksh Mohamed,...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wataka mkurugenzi asimamishwe

>Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, limepitisha maazimio ya kumtaka Rais Jakaya Kikwete, kumsimamisha kazi kwa muda mkurugenzi wa manispaa hiyo, Shaban Ntarambe.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wamtimua M/Kiti Halmashauri Korogwe

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, limemng’oa mwenyekiti wake, Sadik Kalaghe kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo ya matumizi mabaya ya madaraka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani