Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba

CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba

KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....

 

11 years ago

Mwananchi

Mivutano yaendelea kulitafuna #Bunge la #Katiba, wajumbe wataka maridhiano [VIDEO]

Mivutano imeendelea kuligawa Bunge Maalum la Katiba leo, huku baadhi ya wajumbe wakilalamika kuwa mapendekezo waliyoyatoa kuboresha Kanuni zitakazoliendesha baraza hilo hayakuzingatiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema wajumbe wa kundi la walio wengi linaloundwa na wabunge wa CCM na baadhi ya 201 katika Bunge la Katiba hawawezi kupitisha Katiba kwa kuwa hakuna maridhiano

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utaifa utawale vikao vya maridhiano Bunge la Katiba

NI takribani miezi minne sasa tangu makundi mbalimbali nchini kuwaomba wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea katika vikao vya Bunge hilo Agosti 5. Katika makundi hayo, wamo...

 

11 years ago

Habarileo

ACT wataka Katiba mpya baada ya uchaguzi 2015

Samson MwigambaCHAMA kipya cha siasa cha ACT-Tanzania kimeelezea kusikitishwa na mvutano wa makundi ya kisiasa uliowakumba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na kushauri, ni vyema Bunge la Katiba likaahirishwa hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani kwa kutumia Katiba ya sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuzi zazidi kutatiza wajumbe Bunge la Katiba, Kificho aipa Kamati jukumu la ‘kuleta maridhiano’ [VIDEO]

Mheshimiwa Kificho amejikuta katika wakati mgumu, akijaribu kuendesha Bunge lilotawaliwa na makundi  yenye mitazamo tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Wazanzibari wataka uwiano Bunge la Katiba

Suala la uwiano wa wajumbe katika Bunge Maalumu la Katiba, kati ya Tanzania Bara na Zanzibar, juzi jioni lilizua malumbano yaliyotokana na mjumbe, Said Ally Mborouk, kueleza kuwa Zanzibar kwa muda mrefu imekuwa ikionewa na kudhulumiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema wataka JK aingilie kati Bunge la Katiba

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Jakaya Kikwete, kuingilia kati na kukemea vitendo vya kuingiliwa kwa uhuru wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wataka wanasiasa waondolewe Bunge la Katiba

>Wasomi na wataalamu mbalimbali wameshauri kuangaliwa upya kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ili kuwabana wajumbe wanaotumia vikao vya Bunge Maalumu kujijenga kisiasa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2015, badala ya masilahi ya wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani