Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema wajumbe wa kundi la walio wengi linaloundwa na wabunge wa CCM na baadhi ya 201 katika Bunge la Katiba hawawezi kupitisha Katiba kwa kuwa hakuna maridhiano
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM06 Aug
WARIOBA: BUNGE LITAPOTEZA FEDHA ZA WANANCHI ENDAPO HAKUNA MARIDHIANO
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kuendelea vikao vya Bunge Maalumu la Katiba bila kuwapo maridhiano baina ya pande zinazovutana na upande mmoja ukibaki nje ya Bunge, ni sawa na kutumia vibaya fedha za Watanzania.
Amesema kauli kwamba akidi ya wajumbe wa Bunge hilo imetimia na vikao vinaweza kuendelea haiwezi kuzaa Katiba itakayokubaliwa na wananchi wote na ni tofauti na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inavyoeleza katika sehemu ya kufanya uamuzi.
...
11 years ago
Michuzi12 Feb
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba
CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba
KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Utaifa utawale vikao vya maridhiano Bunge la Katiba
NI takribani miezi minne sasa tangu makundi mbalimbali nchini kuwaomba wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea katika vikao vya Bunge hilo Agosti 5. Katika makundi hayo, wamo...
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Mivutano yaendelea kulitafuna #Bunge la #Katiba, wajumbe wataka maridhiano [VIDEO]
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Kanuzi zazidi kutatiza wajumbe Bunge la Katiba, Kificho aipa Kamati jukumu la ‘kuleta maridhiano’ [VIDEO]
11 years ago
Habarileo21 Apr
Pengo ahimiza Watanzania kuombea Bunge la Katiba
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kardinali Pengo, ametuma salamu za Pasaka kwa Watanzania wote huku akisisitiza kuliombea Bunge Maalumu la Katiba.