Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARIOBA: BUNGE LITAPOTEZA FEDHA ZA WANANCHI ENDAPO HAKUNA MARIDHIANO

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kuendelea vikao vya Bunge Maalumu la Katiba bila kuwapo maridhiano baina ya pande zinazovutana na upande mmoja ukibaki nje ya Bunge, ni sawa na kutumia vibaya fedha za Watanzania.Amesema kauli kwamba akidi ya wajumbe wa Bunge hilo imetimia na vikao vinaweza kuendelea haiwezi kuzaa Katiba itakayokubaliwa na wananchi wote na ni tofauti na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inavyoeleza katika sehemu ya kufanya uamuzi.
...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema wajumbe wa kundi la walio wengi linaloundwa na wabunge wa CCM na baadhi ya 201 katika Bunge la Katiba hawawezi kupitisha Katiba kwa kuwa hakuna maridhiano

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uhusiano wa mwajiri, mfanyakazi endapo hakuna mkataba wa ajira — 2

WIKI iliyopita nilisema kwamba ili kuhakikisha mambo ya msingi yanawekwa wazi, Sheria ya Ajira na Uhusiano Kazini inamtaka mwajiri kumpa mfanyakazi maelezo ya ajira yake kwa maandishi baada ya siku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uhusiano wa mwajiri, mfanyakazi endapo hakuna mkataba wa ajira

NGUZO na msingi wa uhusiano wa kiajira kati ya mfanyakazi na mwajiri ni mkataba wa ajira. Mkataba wa ajira unaweza kuwa wa mdomo au wa maandishi. Ili kuhakikisha mambo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali tatu ‘matakwa ya wananchi’, Warioba aliambia Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kati ya wananchi 38,000 waliotoa maoni yao kuhusu Muungano, 19,000 walizungumzia suala la muundo.

 

11 years ago

Mwananchi

Maridhiano yamruhusu Warioba kuhutubia

>Mtafaruku ulioibuka juzi bungeni na kusababisha kusitishwa kwa kikao bila ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba, ulihitimishwa kwa maridhiano baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa) juzi usiku.

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif kuviunda upya vikosi vyua Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar endapo atapata ridhaa ya wananchi

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Wafuasi wa CUF wakimsikiliza mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Wafuasi wa CUF wakimsikiliza mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Mkurugenzi wa mawasiliano wa Timu ya Ushindi (CUF) Ismail Jussa Ladhu akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF...

 

11 years ago

Habarileo

Sitta na Bunge la Maridhiano

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kulia) akipongezwa na Mjumbe Edward Lowassa baada ya kujieleza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Bunge hilo. Uchaguzi huo ulifanyika jana na Sitta alishinda. (Picha na Mroki Mroki).MWENYEKITI mteule wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameonesha wazi kuwa ataongoza Bunge hilo kwa maridhiano, baada ya kueleza kundi lililokuwa nyuma yake wakati wa kampeni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba

CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba

KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani