Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maridhiano yamruhusu Warioba kuhutubia

>Mtafaruku ulioibuka juzi bungeni na kusababisha kusitishwa kwa kikao bila ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba, ulihitimishwa kwa maridhiano baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa) juzi usiku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba kuhutubia Bunge

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba leo anakabiliwa na kibarua kigumu pale atakapowasilisha Rasimu ya Katiba mbele ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema wajumbe wa kundi la walio wengi linaloundwa na wabunge wa CCM na baadhi ya 201 katika Bunge la Katiba hawawezi kupitisha Katiba kwa kuwa hakuna maridhiano

 

11 years ago

CloudsFM

WARIOBA: BUNGE LITAPOTEZA FEDHA ZA WANANCHI ENDAPO HAKUNA MARIDHIANO

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kuendelea vikao vya Bunge Maalumu la Katiba bila kuwapo maridhiano baina ya pande zinazovutana na upande mmoja ukibaki nje ya Bunge, ni sawa na kutumia vibaya fedha za Watanzania.Amesema kauli kwamba akidi ya wajumbe wa Bunge hilo imetimia na vikao vinaweza kuendelea haiwezi kuzaa Katiba itakayokubaliwa na wananchi wote na ni tofauti na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inavyoeleza katika sehemu ya kufanya uamuzi.
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Korti yamruhusu Nkurunziza kuwania urais

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

9 years ago

Habarileo

Mtoto wa Kitanzania kuhutubia UN

MTOTO mwenye umri wa miaka 16, Suhaila Mwarimwana anatarajiwa kuhutubia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani kuhusu masuala mbalimbali yanayowakabili watoto nchini Tanzania.

 

11 years ago

GPL

LEO MEI MOSI JK KUHUTUBIA

RAIS Jakaya Kikwete (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia katika sherehe za wafanyakazi, Mei Mosi zitakazofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Hezron Kaaya mapema wiki hii aliwaambia wanahabari kuwa maadhimisho ya Sikukuu ya Mei Mosi mwaka huu yatafanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam. “Katika kikao chetu na Rais Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani