Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LEO MEI MOSI JK KUHUTUBIA

RAIS Jakaya Kikwete (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia katika sherehe za wafanyakazi, Mei Mosi zitakazofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Hezron Kaaya mapema wiki hii aliwaambia wanahabari kuwa maadhimisho ya Sikukuu ya Mei Mosi mwaka huu yatafanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam. “Katika kikao chetu na Rais Kikwete...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO

Bendi ya Jeshi la polisi wakiwa katika maandamano ya siku ya wafanyakazi yaliyofanyika katika uwanja vya uhuru jijini Dar es salaam leo.Picha zote na Avila KakingoWafanyakazi wa Kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Daily, Sunday News na Habari leo (TSN) wakipita na bango lao wakati wa kuadhimisha siku ya Wafanyakazi (Mei Dei), leo jijini Dar es salaam. Maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi), yaliyofanyika katika uwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam leo.Hawa ni wachama...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), wakifuatilia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.  Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 5, mfanyakazi bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Herman Kachima, wakati wan kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Njoo tusheherekee Mei Mosi pamoja na Skylight Band leo ndani ya kiota chaThai Village, Masaki

DSC_0265

 Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendlea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Usikose leo kwenye shoo yao maana kuna vitu vingi vipya.  Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi uku wakisindindikizwa na dada mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge(wa kwanza kushoto). Sam Mapenzi akitoa...

 

10 years ago

GPL

NJOO TUSHEHEREKEE MEI MOSI PAMOJA NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHATHAI VILLAGE, MASAKI‏

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendlea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Usikose leo kwenye shoo yao maana kuna vitu vingi vipya. Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi uku wakisindindikizwa na dada mwenye sauti ya kumtoa nyoka...

 

11 years ago

Mwananchi

Kalama ajipanga Mei Mosi

Bondia Kalama Nyilawila amesaini mkataba kwa ajili ya kupanda ulingoni Mei Mosi kumkabili mshindi baina ya Thomas Mashali na Japhet Kaseba.

 

10 years ago

Habarileo

Bomu lajeruhi 5 mei mosi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Mei Mosi Mwanza zafana

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

 Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza.

unnamed

 Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani