Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM JIMBO LA KAWE YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU YAMNADI KIPPI WARIOBA


Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba (katikati mbele), akisindikizwa na wanachama wa chama hicho, alipowasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju, wakati CCM ilipozindua kampeni kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam jana. PICHA/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kulia) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe...

 

9 years ago

Mwananchi

Warioba ampigia debe mwanaye ubunge Kawe

Aliyekuwa Mwenyekiti  wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana aliibukia

 

10 years ago

Vijimambo

Mkapa aanguka, Silaa, Kippi Warioba kidedea.

Matokeo ya kura za maoni kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) yameendelea kutangazwa na kuwatupa nje baaadhi ya viggo na sura mpya kuibuka.

Katika Jimbo la Nanyumbu, mkoani Mtwara, Willium Dua alitangazwa mshindi kwa kupata kura 6,165 huku mpinzani wake wa karibu Yahya, Mhata akipata kura 6,157.

Mbunge anayemaliza muda wake, Dastan Mkapa, alishika nafasi ya tatu 9,3945. Wengine ni Endrick Napacho kura 2,096, Majaribu Lupeto kura 931, Uledi Mwanache 497 na Hassan Wema kura...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?

BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK amemchuuza Jaji Warioba

NILIPOONA Rais Jakaya Kikwete akilihutubia na kulizindua Bunge Maalum la Katiba, huku akiikosoa rasimu ya pili iliyowasilishwa kwake na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Warioba afura

WAKATI vita ya maneno ya mjadala wa rasimu ya pili ya katiba ikipiganwa nje na ndani ya Bunge, huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kumshambulia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko...

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Warioba: Najipanga

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

Na Waandishi Wetu

SIKU moja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kupitishwa na Bunge Maalumu la Katiba, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ameibuka na kusema kwamba atazungumza baada ya kuisoma Katiba hiyo iliyopendekezwa.

Juzi baada ya Bunge hilo kupitisha Katiba inayopendekezwa, wananchi wa kada mbalimbali, viongozi wa kisiasa, dini, wasomi na baadhi ya taasisi walionyesha wazi kutofautiana, wengine...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aishangaa Serikali

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani