Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Korti yamruhusu Nkurunziza kuwania urais

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Mahakama yaruhusu Nkurunziza kuwania urais

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

Kulingana na vituo vya redio nchini humo,Jaji wa mahakama hiyo alitoa uamuzi huo mapema leo asubuhi .

Hapo Jana makamu wa mahakama hiyo Jaji Sylvere Nimpagaritse ,alilitoroka taifa hilo akidai kuwa walikuwa wakishinikizwa kutoa uamuzi utakaompendelea rais Nkurunziza.

Rwanda imethibitisha kuwa jaji huyo yuko mjini Kigali.

BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza ruksa kuwania urais

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

GPL

PIERRE NKURUNZIZA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA URAIS

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ametangaza rasmi azma yake ya kugombea kwa awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo, licha ya kuendelea upinzani wa kila upande ndani na nje ya nchi hiyo wa kumtaka asifanye hivyo. Rais Nkurunziza alitangaza rasmi azma yake hiyo jana Ijumaa na kuyataja maandamano ya wapinzani ambayo kwa mujibu wake yamegeuka kuwa uasi, kwamba atayamaliza hivi...

 

11 years ago

Mwananchi

Maridhiano yamruhusu Warioba kuhutubia

>Mtafaruku ulioibuka juzi bungeni na kusababisha kusitishwa kwa kikao bila ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba, ulihitimishwa kwa maridhiano baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa) juzi usiku.

 

10 years ago

GPL

VURUGU ZAZUKA NCHINI BURUNDI BAADA YA RAIS NKURUNZIZA KUTEULIWA KUGOMBEA TENA URAIS

Waandamanaji wakiwa Mjini Bujumbura. Kumezuka ghasia katika Mji wa Bujumbura nchini Burundi kati ya maofisa wa polisi na waandamanaji wanaoishutumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba. Waandamanaji walirusha mawe na kuchoma matairi huku maofisa wa polisi wakilazimika kurusha mabomu ya machozi hewani. Ghasia hizo zinafuatia tangazo la jana kwamba Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameteuliwa na chama chake kuwania muhula wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al-Sisi kuwania Urais Misri

Viongozi wa kijeshi nchini Misri wamekubaliana Mkuu wa jeshi ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Abdel Fattah Al Sisi kuwania Urais katika Uchaguzi ujao

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nimeshawishika kuwania urais

Hatimaye mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema “ameshawishika” na kuweka bayana kuwa atachukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani