PIERRE NKURUNZIZA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA URAIS

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ametangaza rasmi azma yake ya kugombea kwa awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo, licha ya kuendelea upinzani wa kila upande ndani na nje ya nchi hiyo wa kumtaka asifanye hivyo. Rais Nkurunziza alitangaza rasmi azma yake hiyo jana Ijumaa na kuyataja maandamano ya wapinzani ambayo kwa mujibu wake yamegeuka kuwa uasi, kwamba atayamaliza hivi...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUJITOSA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi Tundu Lissu ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka 2020.
Lissu ambaye amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kwa nyakati tofauti amekuwa akionesha nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
BBCSwahili07 May
Pierre Nkurunziza ruksa kuwania urais
5 years ago
Michuzi
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?
10 years ago
Mtanzania29 May
Magufuli atangaza kugombea urais
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kwa wanachama wake wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo kubwa ya uongozi nchini, ameona hana budi kutangaza rasmi azma yake.
Dk. Magufuli, mmoja wa mawaziri ambao kwa muda mrefu wamehusishwa kwenye kinyang’anyiro cha nafasi hiyo, alisema anaingia kwenye mchuano huo akiwa na sifa zote stahiki za...
10 years ago
Mtanzania29 Dec
Nyalandu atangaza kugombea urais
Na Kulwa Karedia, Singida
MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimechukua sura mpya baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza rasmi nia ya kugombea urais mwaka 2015.
Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wapigakura wake kwenye uwanja wa michezo wa Shule ya Msingi Ilongero, Wilaya ya Singida Vijijini jana, Waziri Nyalandu alisema muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika.
“Muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika, nitachukua hatua ya kuelekea...
10 years ago
MichuziNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Mchungaji atangaza kugombea urais 2015
Na Rodrick Mushi, Moshi
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMUCCO), Mchungaji Godfrey Malisa, ametangaza nia ya kugombea urais Oktoba mwaka huu kwa tikeki ya mgombea binafsi.
Mchungaji Malisa, alitangaza azma hiyo huku Serikali ikiwa bado
haijaweka bayana kuwepo kwa mgombea binafsi kwa sababu Katiba Inayopendekezwa haijapitishwa.
Mwaka 2010, Malisa aligombea ubunge Jimbo la Moshi kwa tiketi ya
Chama cha Tanzania Labour (TLP).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Hillary Clinton atangaza kugombea urais