Mtoto wa Kitanzania kuhutubia UN
MTOTO mwenye umri wa miaka 16, Suhaila Mwarimwana anatarajiwa kuhutubia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani kuhusu masuala mbalimbali yanayowakabili watoto nchini Tanzania.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Aug
Mtoto wa Kitanzania ashinda insha SADC
WATOTO wa Kitanzania kutoka shule za kawaida na zile za kata, wameendelea kuipa nchi heshima kimataifa, kwa kuongoza katika mashindano ya kitaaluma.
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Mtoto mdogo wa Kitanzania mwenye IQ kubwa huyu hapa
Na Andrew Chale wa modewji blog
Huenda umesikia mengi juu ya watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ufahamu hasa wa mambo ama IQ kubwa.
Kwa Tanzania mtoto mwenye IQ kubwa kwa ni Mtoto Nice Valentino mwenye umri wa miaka 3, (Pichani) ameweza kuonesha uwezo mkubwa wa kukariri mambo.
kwa mujibu wa kituo cha Cloud FM cha Tanzania, kimenukuu maelezo kadhaa ikiwemo ya Baba wa mtoto huyo, alieleza kuwa, mtoto huyo alianza kuonesha uwezo tokea akiwa na miezi sita (mtoto mchanga) kwa kufanya vitu...
9 years ago
MichuziKITABU KILICHOTUNGWA NA MTOTO WA KITANZANIA CHANG"ARA KIMATAIFA
MTOTO wa Kitanzania mwenye miaka 14 ametunga kitabu ambacho kimetambulika kimataifa. Kitabu hicho ni cha hadithi kinachoitwa ''LUCIANA AND THE SEVEN MAGICAL RINGS'' ambacho kimepigwa chapa na kampuni ya Kimarekani inayoitwa KIDPUB PRESS ya mjini Boston. Kinasambazwa pia na kampuni za Marekani za Amazon na Bookstore.
Mtunzi wa kitabu hiki ni Redempta Rugeiyamu ambaye kwa sasa anaishi nchini Afrika Kusini ambaye alizaliwa nchini Botswana walikokuwa wakiishi wazazi wake akiwa na ugonjwa unaoitwa...
10 years ago
VijimamboGRACE MAGORI MTOTO WA KITANZANIA MWENYE KIPAJI CHA KUIMBA AZIDI KUPAA DMV
9 years ago
Mtanzania23 Oct
Lowassa kuhutubia taifa leo
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, leo saa tatu usiku anatarajiwa kulihutubia taifa.
Kwa mujibu taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, hotuba ya Lowassa kupitia vituo mbalimbali vya televisheni, redio na njia nyingine za upashanaji habari ikiwamo mitandao ya kijamii,...
10 years ago
BBCSwahili03 Mar
Netanyahu kuhutubia Congress leo
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Kinana kuhutubia Mererani kesho
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Orkesumet ambapo aliwambia ahadi za Rais zitatekelezwa kama zilivyoahidiwa kwa wananchi wa Simanjiro.Katibu Mkuu pia alisisitiza wananchi kutochagua viongozi wa vijiji wa hovyo ambao mwisho wa siku huuza ardhi yao na kusababisha migogoro.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Orkesumet ambapo pia alitoa salaam za pole kwa niaba ya chama cha Mainduzi kwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida Ndugu...
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Obama kuhutubia umoja wa Afrika