Mtoto mdogo wa Kitanzania mwenye IQ kubwa huyu hapa
Na Andrew Chale wa modewji blog
Huenda umesikia mengi juu ya watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ufahamu hasa wa mambo ama IQ kubwa.
Kwa Tanzania mtoto mwenye IQ kubwa kwa ni Mtoto Nice Valentino mwenye umri wa miaka 3, (Pichani) ameweza kuonesha uwezo mkubwa wa kukariri mambo.
kwa mujibu wa kituo cha Cloud FM cha Tanzania, kimenukuu maelezo kadhaa ikiwemo ya Baba wa mtoto huyo, alieleza kuwa, mtoto huyo alianza kuonesha uwezo tokea akiwa na miezi sita (mtoto mchanga) kwa kufanya vitu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboGRACE MAGORI MTOTO WA KITANZANIA MWENYE KIPAJI CHA KUIMBA AZIDI KUPAA DMV
9 years ago
MichuziWAHINDU WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA MUNGU WAO MDOGO MWENYE DARAJA KUBWA WAMUWEKA BAHARINI JIJINI DAR ES SALAAM
Mungu huyo hufanyiwa sherehe baada ya kufanyika kwa ibada ya siku tisa ambapo siku yake ya kuzaliwa alipelekwa baharini kwaajili ya kuungana na Mungu wa kike walio kwenye mito mitatu mitakatifu iliyopo nchini India ambayo ni Sarasgad, Amba na Raigad.
Sherehe hizo zilianza kwa ibada...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6a*gQcMv6WfEz7GRG-6YJehp8OLI3i1WIgrVOpUDgeQoG-Z6UOq*ASlVvh6Y-C3UW36PqOb3PK*4uiNbS*hoFe*/FRONTWIKIENDA.jpg?width=650)
POLISI WA KIKE ANAYEDAIWA KUIBA MTOTO, HUYU HAPA!
10 years ago
Bongo Movies28 May
Picha: Huyu Hapa ‘Cookie’ Mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo
Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi picha hii kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE
"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.
Mzee wa Ubuyu
11 years ago
CloudsFM29 May
YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...
11 years ago
Bongo507 Jul
Tazama video mbili mpya za Diamond (Bum Bum na Mdogo Mdogo) hapa