Picha: Huyu Hapa ‘Cookie’ Mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo
Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi picha hii kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE
"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.
Mzee wa Ubuyu
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM14 Jan
AUNTY EZEKIEL,MOSE IYOBO WADHIHIRISHA PENZI LAO
Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni.
9 years ago
Bongo502 Nov
Aunty Ezekiel adai hajutii kuwa na Mose Iyobo
![Aunt Ezekiel](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Aunt-Ezekiel-94x94.png)
10 years ago
Bongo Movies01 Jul
Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo Lakini Ndoa Yangu Ipo Pale Pale
Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.
Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.
“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku zinaenda pamoja na umri inabidi maisha yaendelee mbele. Ndoa yangu ipo kama ilivyokuwa...
10 years ago
Bongo Movies22 May
Aunty Ezekiel Ajifungua Mtoto wa Kike, Ampajina la ‘Cookie’
Staa wa Bongo Movies, Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dancer wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.
Aunty ameshare habari hiyo na mashabiki wake wa Instagram:
“Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/X0yr2VkXuzA/default.jpg)
9 years ago
GPL04 Sep
9 years ago
GPLAUNTY EZEKIEL AMKINGIA KIFUA IYOBO
9 years ago
Bongo Movies07 Sep
Aunty Ezekiel Amkingia Kifua Iyobo
KUFUATIA kuwepo kwa madai na minong’ono mingi ya msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kumzidi umri mzazi mwenzake, Moses Iyobo, muigizaji huyo ‘amewaka’ na kuwataka watu wasiingilie uhusiano wao na kwamba suala la umri kwao ni namba tu.
‘Akibananishwa ukutani’ na mwandishi wetu kwa maswali magumu hivi karibuni, Aunt alisema amekuwa akiumizwa na maneno yanayoendelea juu ya kumzidi umri Iyobo, na kusema hayuko tayari kuona uhusiano huo ukivunjwa kwa maneno ya aliowaita “wakosa kazi”.
“Kwani...
9 years ago
Bongo510 Dec
‘Cookie’anafanana na Mose Yobo, mnaosema nimemshikisha tafuteni jingine – Aunty Ezekiel
![Aunt Ezekiel na Mwanae Cookie](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Aunt-Ezekiel-na-Mwanae-Cookie-300x194.png)
Baada ya mashabiki katika mitandao ya kijamii kumshambulia Aunty Ezekiel kwa kuendelea kumficha mwanae ‘Cookie’, amejitokeza na kusema kwanini anafanya hivyo.
Aunty ambaye yupo kwenye mahusiano na dancer wa Diamond, Mose Iyobo alijifungua mtoto huyo May mwaka huu. Ameiambia Bongo5 kuwa haoni sababu ya kuonesha sura ya mtoto wake kwa wakati huu.
“Nitamwonesha mpaka nikiona angalau amepata akili ya kujitambua,” amesema.
“Kama angekuwa siyo wa Mose kama wanavyodai, baba yake asingemkubali,...