Aunty Ezekiel Ajifungua Mtoto wa Kike, Ampajina la ‘Cookie’
Staa wa Bongo Movies, Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dancer wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.
Aunty ameshare habari hiyo na mashabiki wake wa Instagram:
“Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/X0yr2VkXuzA/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 May
Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike
Aunt Ezekiel
Na Andrew Chale, Modewji blog
Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu Bongo Movie, kujua hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi. staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.
Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...
10 years ago
Bongo Movies28 May
Picha: Huyu Hapa ‘Cookie’ Mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo
Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi picha hii kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE
"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.
Mzee wa Ubuyu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5EjY-cw6rPzElGPsiTCNnBWpqwdNTV3RSRkkXHea5DfCXf1mXO0JPXfc3b*Mextn7epasWNUFkOlq*3njkQ6yAk*/AUNTTY134.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
10 years ago
Vijimambo06 Aug
Zari ajifungua mtoto wa kike
![MTOTO WA ZARI](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/MTOTO-WA-ZARI.jpg)
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.
Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWOQyje3BpwpUgSkPurpoOWUxYzxLEYMtk2a-ftsmPQ1UyRzQT8OzFkb1Zz53R-0pNW-pz5MsoUjV0ndYa62GmHp/11098377_1412805635702978_1854371883_n.jpg)
HAMISA MABETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/599.jpg)
EXCLUSIVE: ZARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
11 years ago
GPLLIL KIM AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
10 years ago
Bongo518 Aug
Christina Aguilera ajifungua mtoto wa kike