KITABU KILICHOTUNGWA NA MTOTO WA KITANZANIA CHANG"ARA KIMATAIFA
MTOTO wa Kitanzania mwenye miaka 14 ametunga kitabu ambacho kimetambulika kimataifa. Kitabu hicho ni cha hadithi kinachoitwa ''LUCIANA AND THE SEVEN MAGICAL RINGS'' ambacho kimepigwa chapa na kampuni ya Kimarekani inayoitwa KIDPUB PRESS ya mjini Boston. Kinasambazwa pia na kampuni za Marekani za Amazon na Bookstore.
Mtunzi wa kitabu hiki ni Redempta Rugeiyamu ambaye kwa sasa anaishi nchini Afrika Kusini ambaye alizaliwa nchini Botswana walikokuwa wakiishi wazazi wake akiwa na ugonjwa unaoitwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-he7EgjSaAeM/UvT5kNtVyWI/AAAAAAAFLnM/NJ-dgpDgaHs/s72-c/k1.png)
KIJANA WA KITANZANIA ANG’ARA PANDE ZA KOREA KUSINI
10 years ago
Vijimambo10 Oct
Ally Kheir Daxx: Nyota ya Kitanzania inayong’ara Afrika
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2481576/highRes/847997/-/maxw/600/-/b2bd29/-/DAXX_CLIP.jpg)
KWENYE orodha ya wanamitindo wanaofanya vizuri kwa sasa barani Afrika huwezi kulikosa jina la...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Mtoto wa Kitanzania kuhutubia UN
MTOTO mwenye umri wa miaka 16, Suhaila Mwarimwana anatarajiwa kuhutubia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani kuhusu masuala mbalimbali yanayowakabili watoto nchini Tanzania.
10 years ago
Habarileo18 Aug
Mtoto wa Kitanzania ashinda insha SADC
WATOTO wa Kitanzania kutoka shule za kawaida na zile za kata, wameendelea kuipa nchi heshima kimataifa, kwa kuongoza katika mashindano ya kitaaluma.
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Mtoto mdogo wa Kitanzania mwenye IQ kubwa huyu hapa
Na Andrew Chale wa modewji blog
Huenda umesikia mengi juu ya watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ufahamu hasa wa mambo ama IQ kubwa.
Kwa Tanzania mtoto mwenye IQ kubwa kwa ni Mtoto Nice Valentino mwenye umri wa miaka 3, (Pichani) ameweza kuonesha uwezo mkubwa wa kukariri mambo.
kwa mujibu wa kituo cha Cloud FM cha Tanzania, kimenukuu maelezo kadhaa ikiwemo ya Baba wa mtoto huyo, alieleza kuwa, mtoto huyo alianza kuonesha uwezo tokea akiwa na miezi sita (mtoto mchanga) kwa kufanya vitu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rlh_AZKF6Gc/XlvTZKMTUkI/AAAAAAALgOc/hSbmzZmklGU8aiDKbxeLAxbUld88DoW4ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMGL9990-2048x1365.jpg)
Tanzania Yaendelea Kung’ara Kimataifa
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dodoma, Msemaji mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa kidunia Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika Nyanja mbalimbali ambapo katika suala hilo anasema kidunia imekuwa ya 21.
“Taasisi za Kimataifa zinatambua juhudi za Serikali yetu katika...
9 years ago
Habarileo09 Dec
Daktari wa Tanzania ang’ara kimataifa
DAKTARI Mtanzania kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza, Dk Rachel Nungu (27) ameteuliwa kuwa miongoni mwa vijana 60 kutoka Nchi za Jumuiya za Madola watakaopewa Tuzo ya Malkia Elizabeth kwa viongozi wa mfano wenye umri mdogo katika jamii zao.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Tanzania yazidi kung’ara kimataifa
TANZANIA imeendelea kupata miradi mikubwa ya maendeleo ya kimataifa, ambapo sasa imeibuka kuwa mshindi kimataifa na kukubaliwa kuanzisha mradi mkubwa wa Kanda ya Kati wa Uchukuzi. Mradi huo utakaohusisha miundombinu ya reli, barabara na bandari unatarajiwa kuanza kutekelezwa wakati wowote nchini.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
‘Shoe Shine’ yang’ara kimataifa
SINEMA ya ‘Shoe Shine’ iliyofyatuliwa mwaka 2013 ikitengenezwa na kuongozwa na Amil Shivji, imeitangaza vema nchi katika tamasha la kimataifa la filamu (Festicab), ililofanyika Burundi kuanzia Juni 13-20. ‘Shoe Shine’...